Mfahamu Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi Jaji Jacob Mwambegele

Kwa Ufupi sana Mwambegele ametokea ndani ya Tume ya Uchaguzi , akiwa Mjumbe , Jambo hili ni zuri maana mtu huyu anao uzoefu wa masuala mengi yanahusu Uchaguzi na Tume yenyewe .

Kingine cha Muhimu sana unachotakiwa kufahamu kuhusu Mtukufu Jaji Mwambegele ni hiki , HUYU NI MIONGONI MWA MAJAJI WALIOKUBALI RUFAA YA SERIKALI YA KUNG'ANG'ANIA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUENDELEA KUWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI , Hukumu hiyo iliamriwa kwamba hata kama Wakurugenzi ni makada wa ccm ikifika kwenye uchaguzi WATAAPA KWAMBA HAWATAKUWA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA , yaani watakuwa neutro . Aliyetoa hukumu ya aina hii sasa ndio MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI , ambaye ndio bosi wa MA DED watakaoapa na kujivua uccm wao !

labda kwa faida ya Wanajf na wengine ambao hawalijui jambo hili , nitawakumbusha kidogo kilichojiri , Mwanaharakati BOB CHACHA WANGWE na wengine walifungua kesi Mahakamani kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri , ambao almost 100% ni wanachama hai wa ccm kuwa wasimamizi wa Uchaguzi , lengo la kuwapinga lililenga kusaidia uchaguzi kuwa huru na haki , maana kiuhalisia wanaccm hawawezi kukubali mwanachama mwenzao ashindwe uchaguzi .

Mahakama ilikubali na ikawafutilia mbali wakurugenzi hao kuwa Wasimamizi wa uchaguzi , kitendo kilichoiogopesha serikali ya ccm na kuamua kukata rufaa ambayo miongoni mwa walioisikiliza na kuwarudisha Wakurugenzi kusimamia uchaguzi yumo huyu Mwambegele ambaye leo kala shavu .

Mytake : Kama ulidhani Mapambano ya kutafuta haki ni safari fupi basi utakuwa umejidanganya sana !
Kazi bado mbichi, kumkabili mkoloni mweusi🤔.
 
Huyu kibaka alieingia madarakani kwa kupora chaguzi anateua vibaka wenzake🤡🤡🤡
1633627952_1633627952-picsay.jpg
 
Kwa Ufupi sana Mwambegele ametokea ndani ya Tume ya Uchaguzi , akiwa Mjumbe , Jambo hili ni zuri maana mtu huyu anao uzoefu wa masuala mengi yanahusu Uchaguzi na Tume yenyewe .

Kingine cha Muhimu sana unachotakiwa kufahamu kuhusu Mtukufu Jaji Mwambegele ni hiki , HUYU NI MIONGONI MWA MAJAJI WALIOKUBALI RUFAA YA SERIKALI YA KUNG'ANG'ANIA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUENDELEA KUWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI , Hukumu hiyo iliamriwa kwamba hata kama Wakurugenzi ni makada wa ccm ikifika kwenye uchaguzi WATAAPA KWAMBA HAWATAKUWA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA , yaani watakuwa neutro . Aliyetoa hukumu ya aina hii sasa ndio MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI , ambaye ndio bosi wa MA DED watakaoapa na kujivua uccm wao !

labda kwa faida ya Wanajf na wengine ambao hawalijui jambo hili , nitawakumbusha kidogo kilichojiri , Mwanaharakati BOB CHACHA WANGWE na wengine walifungua kesi Mahakamani kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri , ambao almost 100% ni wanachama hai wa ccm kuwa wasimamizi wa Uchaguzi , lengo la kuwapinga lililenga kusaidia uchaguzi kuwa huru na haki , maana kiuhalisia wanaccm hawawezi kukubali mwanachama mwenzao ashindwe uchaguzi .

Mahakama ilikubali na ikawafutilia mbali wakurugenzi hao kuwa Wasimamizi wa uchaguzi , kitendo kilichoiogopesha serikali ya ccm na kuamua kukata rufaa ambayo miongoni mwa walioisikiliza na kuwarudisha Wakurugenzi kusimamia uchaguzi yumo huyu Mwambegele ambaye leo kala shavu .

Mytake : Kama ulidhani Mapambano ya kutafuta haki ni safari fupi basi utakuwa umejidanganya sana !
Mtemi Hangaya keshamweka huyu hapa
1640624883914.png

Mambo ni yaleyale, vilevile kwa ukandamizaji uleule
 
Ngoja tuingie chimboni, tutarudi muda mfupi ujao.

Safi sana mkuu
 
Hiki kichekesho kipo Tanzanian tuuu. Mgombea wa chama A nateuwa msimamizi wa uchaguzi ambao na yeye soon atakwenda kuwa mgombea. Tanzania bado Sana.
Yaaa inasikitisha mimi mwenywe najiuliza kama yaani nchi hii wengi ni mazuzu.chanzo yote haya ni nyerere
 
Wenyeviti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC waliopata kuhudumu pamoja na vigezo vyao kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania :

KUUNDWA KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni Taasisi huru ya Serikali iliyoanzishwa mwaka 1993 chini ya Ibara ya 74(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Na Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaundwa na wajumbe wafuatao:-

i. Mwenyekiti ambaye ni lazima awe amewahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa ya Tanzania au mwanasheria mwenye sifa za kuwa wakili na ambaye amekuwa katika wadhifa huo si chini ya miaka 15

.

ii. Makamu mwenyekiti ambaye ni lazima awe amewahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa ya Tanzania au mwanasheria mwenye sifa za kuwa wakili na ambaye amekuwa katika wadhifa huo si chini ya miaka 15.

iii. Mjumbe aliyeteuliwa kutoka kaika chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society).

iv. Wajumbe wengine wanneni watu ambao wana uzoefu katika kuendesha na kusimamia chaguzi au sifa nyingine za ziada ambazo Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ataona zinafaa.

Kwa mujibu wa Ibara ya 74(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu cha 4(4) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (Na. 1 ya1985), Mkurugenzi wa Uchaguzi ndiye Katibu wa Tume ambaye pia huteuliwa na Rais. Source : NEC Website

  1. December 27, 2021 President Samia Suluhu Hassan has appointed Court of Appeal Judge Jacob Mwambegele as the new chairman of the National Election Judge Jacobs Mwambegele, who served on the Court of Appeal for five years, succeeds Judge (rtd) Semistocles Kaijage who ended his five-year term on Monday, December 27, 2021.

  2. December 2016 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage
  3. 15 Oct 2015 — Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Damian Lubuva lubuva in a sentence - lubuva sentence Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi alizaliwa Septemba 21 mwaka 1940
  4. Jaji Lewis Makame A complete stranger’s tribute to Judge Lewis Makame alikuwa Mwenyekiti wa NEC na aliiongoza kwa miaka 17 kuanzia mwaka 1994 hadi alipostaafu 2011 na nafasi yake kuchukuliwa na Jaji Damian Lubuva.
http://lukemusicfactory.blogspot.com › ...
Jaji Lubavu: wajumbe tume ya uchaguzi wachaguliwe na wadau

19 Jan 2013 — MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametoa maoni mbele ya Tume ya Katiba
 
Kwa Ufupi sana Mwambegele ametokea ndani ya Tume ya Uchaguzi , akiwa Mjumbe , Jambo hili ni zuri maana mtu huyu anao uzoefu wa masuala mengi yanahusu Uchaguzi na Tume yenyewe .

Kingine cha Muhimu sana unachotakiwa kufahamu kuhusu Mtukufu Jaji Mwambegele ni hiki , HUYU NI MIONGONI MWA MAJAJI WALIOKUBALI RUFAA YA SERIKALI YA KUNG'ANG'ANIA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUENDELEA KUWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI , Hukumu hiyo iliamriwa kwamba hata kama Wakurugenzi ni makada wa ccm ikifika kwenye uchaguzi WATAAPA KWAMBA HAWATAKUWA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA , yaani watakuwa neutro . Aliyetoa hukumu ya aina hii sasa ndio MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI , ambaye ndio bosi wa MA DED watakaoapa na kujivua uccm wao !

labda kwa faida ya Wanajf na wengine ambao hawalijui jambo hili , nitawakumbusha kidogo kilichojiri , Mwanaharakati BOB CHACHA WANGWE na wengine walifungua kesi Mahakamani kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri , ambao almost 100% ni wanachama hai wa ccm kuwa wasimamizi wa Uchaguzi , lengo la kuwapinga lililenga kusaidia uchaguzi kuwa huru na haki , maana kiuhalisia wanaccm hawawezi kukubali mwanachama mwenzao ashindwe uchaguzi .

Mahakama ilikubali na ikawafutilia mbali wakurugenzi hao kuwa Wasimamizi wa uchaguzi , kitendo kilichoiogopesha serikali ya ccm na kuamua kukata rufaa ambayo miongoni mwa walioisikiliza na kuwarudisha Wakurugenzi kusimamia uchaguzi yumo huyu Mwambegele ambaye leo kala shavu .

Mytake : Kama ulidhani Mapambano ya kutafuta haki ni safari fupi basi utakuwa umejidanganya sana !
I am sorry, rubbish as the previous one!
 
Hata kama asingekuwa na udhaifu huo ulioweka hapo juu, kule tu kuteuliwa kwake na mwenyekiti wa CCM kushika hiyo nafasi kwangu ameshapoteza sifa muhimu sana, hafai.

Katiba Mpya ianze haya "mazingaombwe" ya teuzi ya kila wakati hayana maana tena.
Ile tume ya msajili niyanini sasa kama teuzi zinaendekea kwa matakwa yaleyale.
 
Back
Top Bottom