Mfahamu Mtanzania Andrew Chenge ambaye huwa anahusishwa kwenye kashfa nyingi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,806
12,221
naibu_ndugai.jpg
Andrew Chenge alizaliwa Tanganyika Tarehe/Mwezi/Mwaka 24/12/1947 . Kwa sasa ana miaka 69. Andrew Chenge ni Mbunge wa Bariadi taangu 2005.

KAZI NA TEUZI MBALIMBALI
2005-Sasa -mbunge Bariadi magharibi na Mwenyekiti wa Bunge

2006-2008
Aliteuliwa kuwa waziri wa Miundombinu alijiuzulu mwaka 2008 kwa kashifa ya kumiliki account Nje ya Nchi iliyokua na Kiasi cha $1,000,000 ambazo ni sawa na sh. 1billion kwa kwa wakati huo ambazo zilihusiana na kashifa ya Rada. Baadaye TAKUKURU wakachunguza na Kuja na jibu kuwa Chenge hausiki.


January 6,2006-October 2006

Aliteuliwa kuwa waziri wa Ushirikiano wa Africa Mashariki

2005 alichaguliwa na Wananchi wa Bariadi kuwa Mbunge

1993-1995 Rais Ali Hasan mwinyi alimteua kua mwanasheria mkuu wa serikali Alichaguliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG)

1995-2005 Rais Benjamin Mkapa alimteua Andrew Chenge kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wadhifa aliodumu nao kwa miaka mingine 10.


2009- Chenge akiendesha gari Jijini Dar es Salaam alimgonga mkazi wa Dar es Salaam na Kumsababishia Kifo ambapo alipigwa fine ya Sh. 700,000/= kama adhabu.

Mwaka 2015 Wananchi wa Bariadi walimchagua tena Chenge.

ELIMU YAKE:

LLB (UDSM)
LLM (Harvard University)

======
WHAT WE KNOW:

The case against Andrew Chenge - HIS SECRET STASH OF CASH IN AN OFFSHORE BANK ACCOUNT
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom