Mfahamu model wa Futi 3


directa

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Messages
175
Likes
141
Points
60
directa

directa

Senior Member
Joined Jan 27, 2017
175 141 60
Dru Presta, 21. Modo WA futi 3 anavunja kasumba kwenye kiwanda Cha fashion. Alizaliwa Akiwa mbilikimo, lakini haachi kufukizia ndoto zake hatahivyo. Na anazidi kuinspire watu. Na sasa hivi anakuinsipire Wewe.
This-dwarf-model-is-breaking-all-stereotypes-in-the-fashion-industry-5a0ea0d5a485e__700.jpg


Analenga kuleta mabadiliko ktk kiwanda. Tangu utotoni amezomewa Sana kutokana na umbile lake.

Kwenye familia yake Yeye ndio andunje Pelee.
https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea0d769a71__700.jpg

Hakuna aliyekuwa anajua aliyo yapitia Dru. Lakini yote yalimfanya awe jasiri zaidi. Alisema.
https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea09a9feb3__700.jpg

Akasafirii kutoka nyumbani kwao
Reno, Nevada na kwenda LA kuvunja mipaka ya kiwanda Cha fashion
https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea0a675d37__700.jpg

Alipofika alihamasisha Sana watu wanamaumbile kama yake waingie kwenye kiwanda hiko Licha ya stereotype iliyokuwepo.
https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea0d9f21e9__700.jpg

"nataka kila mtu kwenye aweze kaingia kwenye Tasnia hii kuonyesha umahili wake, Bila kutaamwa kasoro za kimumbile"
https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea0e281633__700.jpg

"kila mtu aweze kupanda kwenye runway awe hana mikono anatembelea hana miguu. Awe anatembelea kiti Cha mataili au awe anatembelea magongo."
https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea1e92652a__700.jpg

https://static.boredpanda.com/blog/...n-the-fashion-industry-5a0ea0967daac__700.jpg


https://static.boredpanda.com/blog/...n-The-Fashion-Industry-5a0ef655dae52__700.jpg

DONT LET YOUR BODY STOP YOU FROM SUCCEEDING, YOUR PASSION.
 

Forum statistics

Threads 1,236,462
Members 475,125
Posts 29,258,766