Mfahamu Mmiliki na Mwanzilishi Wa simu za Tecno na Infinix

Huu ndio usomi.. sio sisi hapa tz daily tunawaza kuajiriwa sababu ya aina ya elimu ipatikanayo shuleni..
 
Kwakweli Kisa chake kinatia Moyo sana wa kuanza bila kitu mpaka kuwa na kitu ukifuatilia kwa urefu kisa chake ni alianza bila mtaji.
 
Yah, Foxconn nawafahamu kama ndo watengenezaji. But huwezi tengeneza kitu ambacho hujadesign kitafananaje. So katika simu designing ndiyo crucial part na hii inafanywa na apple wenyewe. Huku software iOs pia wakiisuka wao.
kwani hiyo tecno anadesign nani na anatengeneza nani!?
mimi naona same applies kama hao apple tu.
 
kwani hiyo tecno anadesign nani na anatengeneza nani!?
mimi naona same applies kama hao apple tu.
Dunia hii ni akili tu, niliwai wasiliana na wachina flan kupitia Alibaba, walinambia naweza agiza Tv zikianzia 1000 basi wanaweka jina lqngu na specification nnazotaka mimi. Wachina mbona hawana noma
 
Dunia hii ni akili tu, niliwai wasiliana na wachina flan kupitia Alibaba, walinambia naweza agiza Tv zikianzia 1000 basi wanaweka jina lqngu na specification nnazotaka mimi. Wachina mbona hawana noma
kweli kabisa wachina wako vizuri kwenye technology hata Jose chameleon nae alikuwa anazo pikipiki zilizotengenezwa kwa jina lake
alikuwa na soko zuri tu Uganda sijui kama siku hizi bado zipo
 
Mimi nikimsikilize mtu kama huyo ndio navutiwa anapo wa inspire vijana wenzangu Sio kigwangala ambae Yuko Employment halafu anashauri
 
kweli kabisa wachina wako vizuri kwenye technology hata Jose chameleon nae alikuwa anazo pikipiki zilizotengenezwa kwa jina lake
alikuwa na soko zuri tu Uganda sijui kama siku hizi bado zipo
Na ndg anaejiita bilionea kijana Africa nae ana track zina jina Lake la big M" na O" kubwa.
 
Napenda sana jamaa alipoandika nilianza nikilenga watu wa chini nilijua tu ipo siku watu wa kati wataipenda
 
Sio kweli huyo jamaa sio founder au owner wa tecno pitia Wikipedia ,huyu atakuwa ni wakala tu kama vile Mengi na cocacola
 
Back
Top Bottom