Mfahamu Meja Elia Muarabu Muislamu Mwenye Cheo Cha Juu Kwenye Jeshi La Ulinzi la Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Meja Elia

Ndiye Muarabu
Muislamu aliye na Cheo Juu Ndani ya Jeshi la Ulinzi la Israel ( IDF)

FB_IMG_16305206503038867.jpg
 
Wapi nimesema niwewahi kuuchukia uislam?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama huuchukii ni vyema!
Lakini llimu isilamu ina chuki sana!
Hadi kungoa kucha

إِذْ يُوحِي رَبُّكَ إِلَى الْمَلَائِكَةِ أَنِّي مَعَكُمْ فَثَبِّتُوا الَّذِينَ آمَنُوا ۚ سَأُلْقِي فِي قُلُوبِ الَّذِينَ كَفَرُوا الرُّعْبَ فَاضْرِبُوا فَوْقَ الْأَعْنَاقِ وَاضْرِبُوا مِنْهُمْ كُلَّ بَنَانٍ

[ AL - ANFAAL - 12 ]
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

لَّا يَتَّخِذِ الْمُؤْمِنُونَ الْكَافِرِينَ أَوْلِيَاءَ مِن دُونِ الْمُؤْمِنِينَ ۖ وَمَن يَفْعَلْ ذَٰلِكَ فَلَيْسَ مِنَ اللَّهِ فِي شَيْءٍ إِلَّا أَن تَتَّقُوا مِنْهُمْ تُقَاةً ۗ وَيُحَذِّرُكُمُ اللَّهُ نَفْسَهُ ۗ وَإِلَى اللَّهِ الْمَصِيرُ

AL I'MRAN - 28
Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni naye. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom