Ndugu zangu, tunaangamizwa na kunguni hatulali, hatuwakaribishi wageni kwa sababu ya kunguni. Tumefikia hatua ya kutaka kujenga nyumba mpya kwa sababu ya KUNGUNI,mtusaidie namna ya kuwatokomeza!
Njoo korogwe ttc ndio wazalishaji wakubwa wa kunguni dawa pia ipo bei maelewano pia tunauza mbegu za kunguni kiasi unachotaka-kAribu sana
Naomben mnisaidie dawa itakayo maliza kunguni maana wamevamia chumba changu
na pia nimeckia ile dawa ya RUNGU spray yaweza ua kunguni je hii ni kweli?
Msaada please namna ya kuwatoa hawa wadudu!
Shukuru sana Mungu maana hawa sio wadudu bali ni balaaI have not seen kunguni for ages