Mfahamu Komando Dogo: Jambazi aliyezua mtafaruku kati Tanzania na Burundi

Taarifa ni kuwa jamaa alistopishwa kiendelea na story hii kutokana na masuala ya kiusalama na pia masuala ya jeopardize uhusiano kati ya nchi za Afrika Mashariki.

Hivyo msisubiri muendelezo bali endeleeni na maisha yenu. Hata hivyo mwisho wa story Komando Dogo aliuwawa na jeshi la polisi. Asanteni.
Aliuliwa na jeshi la Polisi au na mzee Nuru? Rejea comment # 109.
 
Back
Top Bottom