Mfahamu Jenerali James Kabarebe kwa ufupi

Acha kuandika vitu usivyokua na uhakika navyo jomba na kama ni hio documentary ya Kabarebe iliyoko youtube nimeshaiona zaidi ya mara 4 mkuu.

Kagame alisema kama Congo itaendelea kuwapa hifadhi waasi wa serikali iliyopinduliwa/interahamwe ataivuruga Congo na hio ni 1995 na akasema wazi wazi kabisa kuivuruga Congo ni rahisi tu kwa ku train waasi na kuwapa support na ukitaka nitakuwekea hapa gazeti la US likiripoti hio habari.

Na Kagame akatoka hapo akaenda ziara US akawaeleza khs hatari ya inayomkabili kwawaasi kuhifadhiwa Congo na kupewa Support na serikali ya Mobutu,serikali ya US ikampuuza ikaona ka nchi kenyewe kadogo na ka kidwanzi kametoka kuchinjana kataiwezaje kijeshi nchi kama Congo ambayo ni kubwa mara 90 ya ka Rwanda ukitaka pia ntakuwekea hapa washngton post ikiripoti ziara hio ya PK na alichokisema PK.


Khs Kabila senior usichokijua ni kua Kabila alishajaribu kuipindua serikali ya Congo tangu 1967 kupitia chama chake cha People's Revolution Party na akashindwa miaka yote hio lkn kupitia ADFL iliyotengenezwa na wakina Kagame ndipo aliweza kushika nchi(1st congo war),Kabila alikua anaishi Dar so ni kweli M7 alim-link Kabila(nae M7 aliunganishwa na Kabila kupitia usalama wa Taifa wa Tz) kwa kina PK na wakina PK walihitaji mtu ambae wananchi wa Congo watam support kwa kuona ni Mkongo mwenzao kuliko kuona wanyamlenge ndio waliokamata nchi ya Congo.

So kusema mchongo wa kuivuruga Congo ulipangwa Tz sio kweli hata kwa 1%.
Nafikiri labda ni vile Idara TZ ilihusika ku mlink kum introduce PK
 
Katika oparation gani mkuu shusha Nondo

..mzee kabila alimtimua kaberebe na kumuamrisha arudi kwao rwanda.

..kabarebe akaamua kurudi kikomandoo kupitia airbase inaitwa kitona.

..bahati mbaya mzee kabila akaomba msaada toka kwa 5th brigade ya zimbabwe.

..kabarebe akachezea kichapo ikabidi atoroke kupitia angola kwa msaada wa waasi wa unita.
 
..mzee kabila alimtimua kaberebe na kumuamrisha arudi kwao rwanda.

..kabarebe akaamua kurudi kikomandoo kupitia airbase inaitwa kitona.

..bahati mbaya mzee kabila akaomba msaada toka kwa 5th brigade ya zimbabwe.

..kabarebe akachezea kichapo ikabidi atoroke kupitia angola kwa msaada wa waasi wa unita.
Nashukuru sana mkuu
 
..soma hapa jinsi James Kabarebe alivyopokea kichapo toka kwa Mike Nyambuya wa jeshi la anga la Zimbabwe.


cc MALCOM LUMUMBA, Duduvwili , Uzalendo Wa Kitanzania
 
..mzee kabila alimtimua kaberebe na kumuamrisha arudi kwao rwanda.

..kabarebe akaamua kurudi kikomandoo kupitia airbase inaitwa kitona.

..bahati mbaya mzee kabila akaomba msaada toka kwa 5th brigade ya zimbabwe.

..kabarebe akachezea kichapo ikabidi atoroke kupitia angola kwa msaada wa waasi wa unita.
Nimekupata mkuu, tuko pamoja
 
Ila jamani mi najiuliza hivi ni kweli mgogoro wa Congo umekosa suluhu? Au kama watu wasemavyo kuwa PK & YKM wanahusika, kama wakianguka suluhu itapatikana?
 
Amefanana na Marehemu Dr shika
R.I.P Dr Shika. Sikuwa na taarifa kabisa juu ya kifo cha mtanzania mwenzetu huyu.
===
 
Mfahamu Jenerali James Kabarebe Kwa Ufupi

• In 1990, Kabarebe became aide-de-camp to Kagame — later becoming Commander of the High Command Unit at Mulindi, and head the Republican Guard.

• In 1996, Kabarebe was in command of Rwanda’s invasion of DR Congo.

In 1997, Kabarebe became Congo’s army chief of staff after the defeat of Mobutu Sese Seko.

• In 1998, Kabarebe led the second invasion of DR Congo after he was dismissed as chief of staff.

• In 2002, Kagame appointed Kabarebe Chief of Defence Staff of the Rwandan Defence Forces.

• In 2010, Kagame appointed Kabarebe Minister of Defence.

In 2010, Kabarebe cited in the United Nations’s Mapping Report on Congo for the genocide of Congolese and Rwandans during the First & Second Congo War, alongside Kagame.

• In 2012, Kabarebe cited by the UN as de facto commander of M23 militia that overrun Goma, DR Congo.

• On October 18, 2018, Kagame dumped Kabarebe to ”senior advisor.”

• Mid-August 2019, Kagame places Kabarebe under house arrest.

View attachment 1753330
Is he still inder house arrest? Huyu mtu si alikuwa mtu wa pili wa Kagame? Bora kuwa mtu neutral usitumike na mtu kutesa wenzio!!!!
 
Huyu jamaa alikuwa anajua sana, kikosi chake kilikuwa na watu wachache tu lakini ametoboa kwingi tu, lakini kwa Kagame alitakiwa aende kwa nidhamu, kagame ameshawazima mageneral mpaka walioikimbia nchi. Huko huko walikokimbilia wakafuatwa wakazimwa. Seuze yeye aliye ndani ya milki. Akae kwa kutulia!!
muosha huoshwa. yeye si wa kwanza wala wa mwisho. tumeshuhudia wengi. tena yeye ataoshwa kwa maji ya baridi.
 
Back
Top Bottom