Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala

Safi mkuu...nilipata mda nitaftilia salum kiwiku yupo wapi siku hizi hii week end tukijaliwa nitashuka chini kule nitapita na kwa james pale nitampa salamu zaka na ranueli (ima mnyasa) ndio ilikuwa kampani kubwa ya bonge
Duu poa poa
 
Yakuza bado wapo mzee juzi juzi wamemkata visu fundi simu chidi mdigo pale ujiji mwanyamala kisa elfu 3 simu mbovu fundi kasema aitengenezeki imekuwa kosa kubwa sana
Mkuu pale ujiji toka wajenge ule mjumba mzuri naona wakabaji wamepotea maana walikua na kichochoro chao kile kama kimezibwa, ukija mpk kwa Ali maua, pia wale wa Vegas kdg wamekua masharo kimtindo
 
Namjua vizur sana uchebe kuna mtu anaitwa Moi ndio alimsilimisha pale msikiti wa taqwa...mpaka leo mama ake mzazi anaishi chumba cha kiza
Yeah uchebe ustaaz haswa na nakoz anabonda sema sio mkabaji.
 
Duu poa poa
Mkuu kuna mzee alikuwa anaitwa mzee ciza marehem...mtoto wake cocoo(cloud) mwenye maisha club dah mzee alikuwa namba chafu sana alipigwa bunduki hapa road karibu na kamnyola bar..nyumba yake ipo hapa ukiwa unaanza kuingia makaburin kipindi icho ndio ilikuwa nyumba nzur eneo lile mtoto wake tina, cocoo(cocoo ndio aliyempa mchoro wa maisha huyu dj majizo ila kipindi icho alikuwa anajulikana km rashid bichwa mmakonde )
 
Siku yule mzee anadunguliwa tulikuwa pale Makuti opp na nyumba yake.. Anatoka tunamuona mara tunasikia shaba kufika pale wa juzi
 
Back
Top Bottom