Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

Mkuu hapo pa ikuti umekosea hawa jamaa wanapatika mkondo wa chuo cha magereza ukipita pale chuo kuelekea juu ndio kijiji cha hao malamanyafu ikuti iko nyuma ya magereza na huo mto songwe upo mpkani mwa tanzania na malawi kutoka kwa hao malamanyafu ni zaidi ya km 200
Achana na Ikuti ya Iyunga mkuu, kuna Ikuti yenyewe yaani OG anayokwambia Bujibuji
 
Forest ya sasa sio kama ya kipindi kile, yaan kulikua na kipindi kabisa cha wapiga nondo.. Mmmh ilikua ya moto
 
Huwa nalichunguliaga barabarani tu tukiwa tunapita,wanasema lina maajabu ukiingia unapotea nk, vipi wewe hukuona chochote cha kustaajabisha?
Si kweli kwa hilo, hilo bwawa watu wanaingia na wanafua na kuoga. Ila siku hizi wameweka mtu na kimashine chake cha EFD ukiingia mgeni wanakutoza. Tunaingia hapo sana tu na unawakuta wenyeji fresh kabisa
 
Katika hili andiko kuna maneno yamenikosha sana MAMOMA” Dah umenikumbusha mbali sana enzi nachunga iwindi muda wa kuandaa bisi kupitia Mwakabunguja MAMOMA lazima Aisee gone are those days kwa kweli.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si kweli kwa hilo, hilo bwawa watu wanaingia na wanafua na kuoga. Ila siku hizi wameweka mtu na kimashine chake cha EFD ukiingia mgeni wanakutoza. Tunaingia hapo sana tu na unawakuta wenyeji fresh kabisa
Jamaa anawajua wageni wote na wenyeji pia
 
Back
Top Bottom