Mfahamu Hussein Shekilango, mwenye jina la barabara jijini Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfahamu Hussein Shekilango, mwenye jina la barabara jijini Dar

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by JokaKuu, Oct 11, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Oct 11, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,764
  Likes Received: 4,980
  Trophy Points: 280
  image.jpeg
  Hivi kuna yeyote amewahi kujiuliza Shekilango ni nani mpaka barabara kubwa jijini DSM ikapewa jina lake?

  Naomba mwenye historia na wasifu wa Shekilango atuwekee. Naamini siko peke yangu ambaye hatuna taarifa zake.

  =====

  Michango ya wadau...


   
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ninachokumbuka alikuwa waziri na alikufa akiwa njiani toka Uganda kwenye ajali ya helkopta, hivyo alikufa akiwa kazini enzi za mwalimu, baada ya vita vya kumuondoa nduli iddi amini.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Halafu haya majina ya shekilango na shemhando ni hayo hayo ya kilango na mhando

  wasambaa zamani walikuwa wanafikiri mtu kuitwa sheikh ni title ya ujiko
  so wakaanza kuongeza sheikh kwenye majina yao.

  Yaani mhando ikawa sheik mhando
  kilango ikawa shekilango
  lukindo ikawa shelukindo n.k

  sasa ndo imekuwa hivyo.
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Na shetani je?
   
 5. A

  August JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Alikuwa waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na alifariki 1980 akitokea Entebbe Uganda, na ndege iliangukia Arusha, unaweza kusearch Hussein Shekilango nafikiri unaweza kupata data zaidi.
   
 6. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  I thought this was a serious question........ipo kona ya jokes kuleee ama ndio miafrika?Au udumavu?
   
 7. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35

  Kaka Joka Kuu,
  Mzee Hussein Shekilango aliwahi kuwa Mbunge wa Korogwe na Baadaye alikuwa waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Utawala (Nafikiri utakuwa unawafahamu watumishi wa namna hii).Mzee Shekilango alikuwa mtu wa karibu sana na Rais Nyerere (RIP) na Waziri Mkuu wa wakati huo Mh.Edward Sokoine (RIP).

  Ilikuwa mwezi May/1980 Mzee Shekilango pamoja na watumishi wengine wa serikali na Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi walipata ajali ya ndege huko Arusha na kufariki.Mzee Shekilango na ujumbe wake walikuwa wanasafiri kwa ndege ndogo kutoka Arusha kwenda Entebbe.Ikumbukwe kuwa kipindi hicho tulikuwa katika vita na Utawala wa Amin,na inasemekana Mzee Shekilango alikuwa ametumwa na Rais kwa kazi maalumu huko Uganda.

  Sina Ufahamu ni nani alipendekeza Jina la Barabara ile ya Shekilango (Mwenge/sinza) lakini Shekilango anahesabiwa kama shujaa,kwa sababu alikufa kazini na katika shughuli za Vita vya Kagera.Mtoto wa Kiume wa Marehemu Shekilango alikuwa mmojawapo ya wanachama wa CCM 19 walioomba Ubunge wa Korogwe -Magharibi katika Uchaguzi Mkuu wa 2005.
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wow this is interesting i never though ile barabara ya shekilango imewekwa kutoka na umaarufu wa mtu...Nimefurahi kujua hii....

  Bravo aliyeleta hii mada!
   
 9. Y

  YE JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kujua zaidi nenda seaview mama shekilango yupo huko..
   
 10. D

  Darwin JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hey The Boss,
  My mom is msambaa and my daddy is half Irish half dutch.

  Taarifa yako sio ya kweli.
  Wako watu wanaitwa Lukindo mpaka leo, and what I can remember is that, Lukindo is called Ukindo in Kisambaa
  Wako watu wanaoitwa Kilango mpaka leo.

  She in kisambaa is [ a son of ]

  See this, Maukindo
  A daughter of Ukindo.
   
 11. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Huu ndio twaita ubahau. Ujifunze kwa kutaka kujifunza hasa.

  Uende taratibu mkuu.
   
 12. October

  October JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  This is very surprising! I thought you came into this world through evolution. Kumbe na Darwin amezaliwa kama binadamu wengine!!!!
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Mkuu Wasambaa tulikua tuna weka "she" siyo "sheikh". Na huko kuweka "She" ni kwa mtu ambae anaoa msambaa. So Mhando akimuoa msamba inawekwa "she" anakua Shemhando.
   
 14. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nani mkweli hapa?
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mie hapa nashangaa kumbe kila kitu kina maana yake

  na mandela road samora zina maana gani ?
   
 16. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mh bibie hata hizi nazo?
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hizo nimeuliza kwa nini ziliitwa hivo

  Hiyo Mandela ni rais wa SA alikuja TZ wakaita barabara Mandera Or

  Na Samora - Ni Sababu Ya samora wa Msumbiji or kuna maana nyingine

  aulizae ataka kujua ??:)nijibu basi kimei mie niko huku Bariadi village kwa kina Kanumba
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hizo zote ni Heshima Waliopewa hao wa asisi wa mataifa ni kuwaenzi wapigania Uhuru ndo maana hata ukienda Zimbabwe, Namibia, kuna nyerere road huko! by the way Bariadi village hakuna salooni inayoweza kutengeneza unywele huo bibie! teh teh
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  thanks u make ma Nyerere day
   
 20. D

  Darwin JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mhando
  Kilango au kisambaa chenyewe( Kiango)

  Na hii yote ilitokea wakati huo wa enzi za mababu kwamba mtoto wa Kiango anaweza kuitwa Shekiango
  Au hata kuoa tena, mwanaume akioa anaweza kuchukua title ya mke wake.

  Kama mwanamke ni Mzingwa basi mwanaume atakayemuoa anaweza kua akachagua jila la Shemzigwa.
  As my mom said, She = son of or mume wa...

  Kama Yugoslavia wanavyoitana Milosovic, Ibrahimovic.

  Wanaojua kisambaa zaidi wafafanue, kwani mimi haya nilifundishwa na mama labda kuna Ufafanuzi zaidi
   
Loading...