cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,611
- 137,281
Ana toto Lina makalio makubwa kuliko wanawake wote Africa , Hilo litoto linaitwa Eudoxie Yao
Ana toto Lina makalio makubwa kuliko wanawake wote Africa , Hilo litoto linaitwa Eudoxie Yao
Nov 23 2020 na June 15 2021Au wamenikopy mimi
Hivi niwakumuzidi Harmorapa kumiliki shipapi kali hivi 🤣🤣🤣
Ila itakuwa wanamumegea maana si kwa kumiliki huko
Huyo Dogo Grand P Aliwahi kutangaza nia yake ya Kugombea kiti cha Urais nchini Guinea Mwaka 2020, aliishiaga Wapi??Haswa yaani ni kijana mtoto anae ekekea uzeeni