Mfahamu Generali Evariste Ndayishimiye; Rais mtarajiwa wa Burundi, msiri wa Nkurunziza, mbabe wa vita na mnyenyekevu

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,563
2,000
rejea uchaguzi wa juzi ambao matokeo yalibadilishwa mahakama,na ule uchaguzi wa maigizo ambao kenyata alishinda kwa kishindo.. unaona ulikuwa na todauti gan na ule wa zanzibar?
Tofauti ipo kubwa sn, Raila alitaka kulazimisha matokeo, pia alikata rufaa matokeo yakafutwa na mahakama, EA kuna nchi gani mahakama inaweza kufuta matokeo na uchaguzi ukarudiwa?
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
18,866
2,000
Uchaguzi ulijaa hila, ubabe, uonevu, vitisho na ubambikiwaji wa kesi kwa upinzani bila kusahau rushwa....

Hata kama ni mzuri kiasi gani... Uchaguzi kwa jinsi ukivyoenda unamuondolea sifa njema


Jr

Eti ukomavu wa kisiasa kwa upinzani unahitajika, what a joke
Yaani mada yenyewe imembeba Gen na Rais tangu wako Chuo
Yaani africa ni kukubali tu
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
14,212
2,000
wilson kaiser senior,
Umetisha, kwa habari iliyojitosheleza kuhusu hali ya kisiasa Burundi na historia ya Taifa hilo pia umetutendea haki WanaJF na mtandao pendwa wa Jamiiforums unaosomwa na wengi pande zote za dunia kufahamu mengi kuhusu nchi hiyo.
Generali Evarist Ndayishimiye, Generali Adolphe Nshimirimana, Generali Emmanuel Ntahomvukiye, Generali Prime Niyongabo na Generali Etienne Ntakirutimana walifanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Burundi tarehe 13/5/2015 yaliyotangazwa na Generali Godefroid Niyombare aliyekuwa Waziri wa ulinzi na usalama wa Taifa Burundi. Mapinduzi hayo yalikuwa na mkono wa serikali ya Rwanda chini ya Generali Paul Kagame.

Saba, Generali Evarist Ndayishimiye ndiye anafahamu siri za mali na utajiri wa Raisi Pierre Nkurunzinza hivyo alimpigia upatu wa uraisi ili amlinde baada ya kustaafu mapema mwezi Agasti mwaka huu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom