Mfahamu binadamu mwenye ngozi ya manyoya (nywele) kwa asilimia 98

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,236
Larry Gomes anajulikana zaidi kama binadamu mbweha. Zaidi ya 98% ya mwili wake wote umefunikwa na manyoya,ndiye anashikiria rekodi ya dunia ya guinness ya kuwa binadamu mwenye nywele nyingi zaidi akiipata feb 2000,yeye pamoja na ndugu zake watatu.

Alizaliwa na tatizo la kurithi linaloitwa hypertrichosis ambalo huathiri namba chache sana ya watu duniani,huku takwimu za watu waliothibitika kuzaliwa na shida hii tangu karne ya 19 wakiwa hawafikii 100 duniani.Gomez ameoa mwanamama anayefahamika kwa jina la Alicia Martines

Tatizo hili hutokea siku za mwanzo kabisa za utungwaji wa mimba lakini pia linaweza kutokea wakati wowote wa uhai wa binadamu (japo ni nadra sana). Hata hivyo,hypertrichosis hadi sasa haina tiba ya kudumu zaidi ya njia za kupunguza ukubwa wa tatizo kama vile kunyoa,bleaching,trimming,waxing na chemical depilatories

=====================

A man whose body is almost completely covered in hair now proudly boasts the accolade of being the 'world's hairiest man', after years of ridicule and bullying.

Larry Gomez, of San Bernardino, California, has been nicknamed the 'Wolf Man', because 98 per cent of his body - including his face - is coated by thick, dark hair.

He was born with congenital generalized hypertrichosis - a rare genetic disorder that strikes less than 100 people worldwide, including a number of his family members.

Cruel children bullied Mr Gomez - whose real name is Victor - during his time at school, ostracizing him as a result of his unusual appearance.

But, after making a name for himself in Hollywood, he has finally learned to embrace his difference, and is now considered the world's hairiest man.

Mr Gomez' newfound confidence also helped him find love, after recently marrying Alicia Martinez, whom he met when searching for an apartment in 2011.

Urging others to look beyond appearances and get to know the person beneath, he is hoping to use his story to inspire others to be confident in their own skin.

Filmmaker Travis Hoefle, who runs the YouTube Channel 'Wizard of Odd TV', flew out from Chicago to meet with the iconic 'Wolf Man.'

He said: 'Larry has three other family members who suffer from the condition, spread out over five generations.

'The women are covered with a light to medium coat of hair, while the men of the family have thick hair, covering most of their bodies.

'[Larry] was bullied as a kid for the way he looks, but now he wants other people to accept him, and others, who look different.'

1583736820080.png
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom