fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,801
- 22,445
BAHARI YA HINDI
We u katoto kazuri tena usoisha hamu!,tabasam lako jepesi linatosha kuipora nchi!Mabaharia nini?
Naomba mnijuze basi??
Samahani bwana mkubwa picha uliyoiweka kwenye avatar inafanana sana na baharia mmoja hivi ambae siku hizi anafanya kazi ya kutoza ushuru. Kama ni wewe capt, T basi mie ni capt. mdudu ru.....Engineer wa meli alisoma Ubelgiji na akafanya kazi kwenye meli kubwa nadhani kwa mwaka 1.
Anaitwa Said Kinyanyitehahahaaaa shukrani uliposema thubutu anatoroka nikamkumbuka nahodha wa mv spice islanders alivyotoka nduki kali
ewaaaa nadhani alikua mzaramu huyu bwana hivi mwisho wake ulikuaje huyu?Anaitwa Said Kinyanyite
Nasikia alikufa huyuewaaaa nadhani alikua mzaramu huyu bwana hivi mwisho wake ulikuaje huyu?
aisee nje ya ajali? mana nilisikia ametoroka huyu auNasikia alikufa huyu
Kumbe tuko wengi humu daaah. tungetambuana basiiiCaptain kinyanyite alikuwa MTU safi sana
Hapana, mimi sifanyi kazi hiyo.Samahani bwana mkubwa picha uliyoiweka kwenye avatar inafanana sana na baharia mmoja hivi ambae siku hizi anafanya kazi ya kutoza ushuru. Kama ni wewe capt, T basi mie ni capt. mdudu ru.....