Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,947
- 12,517
- Thread starter
- #21
Kwenye meli ya mafuta kuna mtu anaitwa Pumpman huyu kazi yake ni kusimamia pampu zote wakati wa kupakia na kushusha mafuta.
Wanapaka rangi kwenye meli. Rangi wanazopaka ni kwa ajili ya kuzuia kutu sababu meli muda wote ipo kwenye maji.Hao wanapaka rangi gani?wapi?
Sijaona hata idara ya michezo Haji aje atuambie nafasi yake ya ubaharia iko wap kwa maelezo hayo???Mbona sijaona idara ya wanawake wenye makalio makubwa, wala sijaona idara ya wanyama pori?
Kigwangala njoo utuambie wewe ni baharia wanini, au ungo?
Michezo labda kwenye Cruise ship huko utakutana mpaka na wapiga vinanda,walimu wa gym na volley ball.Sijaona hata idara ya michezo Haji aje atuambie nafasi yake ya ubaharia iko wap kwa maelezo hayo???
Kwenye kivuko kunakuwa na Nahodha, Engineer, Oiler na Baharia.Kwenye MV Magogoni hivyo vyeo vipo
Nahodha ndio kila kitu kwenye meli (Chief in Charge) na yeye ndio amekabidhiwa meli. Ni kweli lolote litakalotokea hata kama amefanya mtu mwingine anayehusika kujibu ni nahodha.Na ni kweli kwamba meli ikizama lazima nahodha azame nayo? Na ikitokea amepona ni kweli anatakiwa anyongwe?
hahahaaaa shukrani uliposema thubutu anatoroka nikamkumbuka nahodha wa mv spice islanders alivyotoka nduki kaliNahodha ndio kila kitu kwenye meli (Chief in Charge) na yeye ndio amekabidhiwa meli. Ni kweli lolote litakalotokea hata kama amefanya mtu mwingine anayehusika kujibu ni nahodha.
Ishu ya kuzama na meli ni chaguo la mtu, kuonekana alifanya uzembe,kuogopa hukumu nzito ya mahakama na kuonekana amedharirisha taaluma yake kubwa aliyokuwa nayo.
Ila hii ya kuzama na meli wazungu ndio walifanya zamani, ila kwa mswahili thubutu anatoroka kusikojulikana au bora aende mahakamani.
Hivi kumbe huwa hakuna kitengo cha maalumu kwa wale divers wanaenda kutoaga nanga ikizngua n.k