Mfahamu Angela Merkel

watu walikua wanampenda sera zake zilikua nzuri kule wenzetu heshima ni umeifanyia nini nchi sio kujinufaisha ndio mana unakuta rais anatembea mtaani hana hata walinzi kwasababu watu wanampenda na unaweza kumchallange kwa hoja mkaongea
Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese
 
ulaya huwa hawastaafu? manake wakisikia wa afrika anataka kutawala zaidi ya miaka kumi wanakosa usingizi, wanabweka kila mahali
 
ulaya huwa hawastaafu? manake wakisikia wa afrika anataka kutawala zaidi ya miaka kumi wanakosa usingizi, wanabweka kila mahali
Hao watu hua hawapendi sisi tutanye vitu vinavyo waumiza vichwa.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom