Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzesewatu walikua wanampenda sera zake zilikua nzuri kule wenzetu heshima ni umeifanyia nini nchi sio kujinufaisha ndio mana unakuta rais anatembea mtaani hana hata walinzi kwasababu watu wanampenda na unaweza kumchallange kwa hoja mkaongea