warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,380
Haka katoto jaman kana sauti , kanajua kuimba, kupiga violin , halafu kana akili sana kichwan I, na ni kazuri. Hivi karibuni nimemuona yupo karibu sana na wasafi , na kako karibu sana na Diamond platnums , pia kuna wimbo Mpya wa SUPER WOMAN ambao ameshiriki kuimba na kuandika pamoja na Diamond Platnumz.
Walahi haka katoto kana kipaji cha kutisha , huyu domo asije tu akafanya kama the late kanumba kwa Lulu , kujifanya anamsaidia kumbe ana yake
Halafu nilisikia umbea ni mtoto wa khadija kopa Sijui ni kweli , mbona katoto ka kishua sana , na kizungu chake sio cha nchi hii , yan inshort this girl ako level za ki international , ako na exposure na elimu yake ndogo imemfanya akokamae kifikra na kihisia , she is so smart , sio kama akina Tunda na lulu
Mungu amsaidie tu afike mbali maana kipaji tu anacho kwa kweli.
Sent from my iPhone using JamiiForums