Mfadhili toka Ujerumani aishangaa Serikali ya CCM, alijenga zahanati 3 zote zimefungwa kwa kukosa watoa huduma

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1526834675160.jpg
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mfadhili kutoka nchini Ujerumani Dkt.Ansgar Stüfe amesikitishwa na Zahanati tatu alizozijenga katika vijiji vya Litisha,Mdundualo na Lugagara wilayani Songea mkoani Ruvuma ili kuwasaidia wananchi kufungwa kwa kukosa wahudumu huku moja katika kijiji cha Mdundualo ikigeuzwa kuwa duka.
 
View attachment 782148 [HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mfadhili kutoka nchini Ujerumani Dkt.Ansgar Stüfe amesikitishwa na Zahanati tatu alizozijenga katika vijiji vya Litisha,Mdundualo na Lugagara wilayani Songea mkoani Ruvuma ili kuwasaidia wananchi kufungwa kwa kukosa wahudumu huku moja katika kijiji cha Mdundualo ikigeuzwa kuwa duka.

Huyu ni mmoja tu. Wapo wengi wa aina hii. CCM ni janga la Taifa.
 
Back
Top Bottom