Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

Sasa kama mnahali ngumu ya maisha nani kasababisha hiyo hali?Sera zenu mbovu za uchumi zimefanya maisha ya watu kuwa mabovu kiasi hiki na hili ndilo linalokera wengi Ila mnajifanya hamjui
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo.

Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT kakini mpaka siku ya leo inafika tayari Chadema wameshaonyesha kushindwa. Na hii ni kwa sababu wamenza kulialia kama watoto wadogo.

Kitendo cha Mgombea Urais wa CHADEMA kuanza kutoa sababu ambazo hazina msingi, hizi ni dalili kuwa sasa jahazi linazama. Mfano kulialia kwa waandishi wa habari kuwa sasa hana pesa na inalazimu kutembeza bakuli hii ni dalili kuwa hali ni mbaya. Lakini kwa nini hakufanya tathimini kuwa chama chake hakina fedha hivyo akakaa kando na kuacha kuingia kwenye mtanange ambao ni gharama kubwa kuuendesha? Lissu hakufanya tathimini kuwa kuna michango ya wabunge iliyokuwa itumike kwenye uchaguzi ilikwapuliwa na wamiliki wa Chadema? Maana hii ni aibu kutembeza bakuli wakati wananchi tuna hali ngumu.

Kusema kuwa CCM wanachota pesa za serikali pia ni dalili kuwa huyu jamaa amekosa hoja za msingi. Hivi hajui kuwa Ccm wana asset ambazo zinawaingizia pesa lukuki ambazo wakizikusanya kwa miaka mitano zinaweza kuendesha kampeni kwa ufanisi mkubwa? Kutoa sababu eti Hayati Benjamin Mkapa alisema kuna watu walimdanganya na kukwapua pesa za Epa sio justification kuwa Ccm inachota pesa serikalini. Maana CCM ya mwaka 2005 sio hii ya leo.

Kuleta hoja eti CCM imepitisha mgombea ubunge wa Njombe ambae alikuwa na mashitaka ya ufisadi. Kwa hiyo Ccm haipambani na ufisadi huku nako ni kukosa hoja zenye mashiko na zisizo na msaada kwa CHADEMA . Mimi nafikiri kama chama makini wangetuambia namna gani watamshinda huyu mgombea ubunge aliyekuwa na makosa ya ufisadi ili wachukue jimbo la Njombe kuliko kuanza kulalama juu ya kuteuliwa kwake kugombea.

Pia ifahamike huyu mgombea baada ya kubainika amefanya makosa ya kusaidia Acaccia wasilipe kodi alikamatwa nakufunguliwa mashitaka na kisha kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria. Na hukumu yake haijamuondolea sifa ya kuwa mgombea ubunge. Kwa hiyo ni wazi kuwa serikali ya CCM ilichukua hatua stahiki, kusema kwamba haipambani na ufisadi ni uongo na kukosa hoja.

Kujibu hoja ya kuwa anatumiwa na mabeberu kizembe hivyo pia imeonyesha ni wazi kuwa anapata misaada toka kwa mabeberu. Maana huwezi kusema kuwa kisa Usaid au JICA wakitoa misaada tayari tumepata msaada toka kwa mabeberu. Maana dhana nzima ya ubeberu huwa inakamilika pale misada ya taifa lenye uwezo linapotoa msaada ambao una lengo la kuinyonya nchi yetu kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni. Hili hajajibu vuzuri maana anakiri kuwa impliedly kuwa anapata misaada. Je hiyo misaada anaipata kwa mashariti gani huyu ndugu Lissu? Ili aje alinde faragha za watu wanaovunja sheria za nchi!

Kusingizia media za Tanzania hazifanyi coverage ya mikutano yake ni aibu na hii ndio imeonyesha sasa ameishiwa nguvu. Amesahau kilichotokea pale Zakheim? Lakini pamoja na hayo mimi naona vyombo vya habari karibu vyote vinaripoti mikutano yake.

Kusema rais anatumia madaraka yake kujipatia kura. Hili nalo linachanganya. Kwani Tundu Lissu hajui kuwa ukomo wa rais wa JMT ni mpaka aapishwe mwingine? Maana pale Nyehunge rais Magufuli alikuwa anatumia kofia yake ya urais kutekeleza majukumu yake,na kwa katiba ya JMT lipo wazi. Ila dalili zinaonyesha sasa maji yamefika shingoni na baada ya siku kumi itakuwa aibu kwa Chadema.
Yule mama kule butiama kasema fisiem wenzako wamemlazimisha kuja kumsikiliza mtu ambae hana sera.
Mnamtisha asiseme lolote
 
I see hii dunia Kuna vituko mwee, ccm oyee
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili huwa tuna msemo ''ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa''..hali ipo hivi, yawapasa muelewe. Hakuna mtu anayeweza kusema ''nimeshindwa'' au ''tumeshindwa'' hasa ikiwa alishajigamba na kujimwambafai kuwa anashinda saa mbili asubuhi.

Kauli za ''kiutu uzima'' ni kama ''hatuna pesa za kampeni'', ''mguu wangu haukunjuki'' ''habaru zangu hazirushwi'',''mshindani wangu anahela sana''.

Kwa wale tunaojua hesabu za ''cross multiplications'' tunasema ''ikiwa Tundu kafanya mikutano 10 ndani ya siku 10 basi ndani ya siku 60 anatafanya mikutano 60''

Ukweli ni kuwa angalau ya watanzania asilimia 70 wanaishi vijijini sasa kama kishagundua kuwa hawezi kukutana na kushawishi wanachi walio wengi wampigie kura, ni dhahiri kishaanguka.

Wakati umefika ambao Robert Amsterdam amejichokea na kutokomea bila kuandika ''vijibarua vyake uchwara''.

Uraisi sio Urahisi.
Michango endelevu
 
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!
Wewe wasema, CCM imeleta maendeleo katika kila maeneo: Elimu, afya, usafiri, viwanda, uvuvi, madini, amani na maeneo mengine. Usione vyaelea vimeundwa. Viongozi wa Serikali ambayo iko chini ya CCM wana uzalendo na taifa hili.
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo.

Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT kakini mpaka siku ya leo inafika tayari Chadema wameshaonyesha kushindwa. Na hii ni kwa sababu wamenza kulialia kama watoto wadogo.

Kitendo cha Mgombea Urais wa CHADEMA kuanza kutoa sababu ambazo hazina msingi, hizi ni dalili kuwa sasa jahazi linazama. Mfano kulialia kwa waandishi wa habari kuwa sasa hana pesa na inalazimu kutembeza bakuli hii ni dalili kuwa hali ni mbaya. Lakini kwa nini hakufanya tathimini kuwa chama chake hakina fedha hivyo akakaa kando na kuacha kuingia kwenye mtanange ambao ni gharama kubwa kuuendesha? Lissu hakufanya tathimini kuwa kuna michango ya wabunge iliyokuwa itumike kwenye uchaguzi ilikwapuliwa na wamiliki wa Chadema? Maana hii ni aibu kutembeza bakuli wakati wananchi tuna hali ngumu.

Kusema kuwa CCM wanachota pesa za serikali pia ni dalili kuwa huyu jamaa amekosa hoja za msingi. Hivi hajui kuwa Ccm wana asset ambazo zinawaingizia pesa lukuki ambazo wakizikusanya kwa miaka mitano zinaweza kuendesha kampeni kwa ufanisi mkubwa? Kutoa sababu eti Hayati Benjamin Mkapa alisema kuna watu walimdanganya na kukwapua pesa za Epa sio justification kuwa Ccm inachota pesa serikalini. Maana CCM ya mwaka 2005 sio hii ya leo.

Kuleta hoja eti CCM imepitisha mgombea ubunge wa Njombe ambae alikuwa na mashitaka ya ufisadi. Kwa hiyo Ccm haipambani na ufisadi huku nako ni kukosa hoja zenye mashiko na zisizo na msaada kwa CHADEMA . Mimi nafikiri kama chama makini wangetuambia namna gani watamshinda huyu mgombea ubunge aliyekuwa na makosa ya ufisadi ili wachukue jimbo la Njombe kuliko kuanza kulalama juu ya kuteuliwa kwake kugombea.

Pia ifahamike huyu mgombea baada ya kubainika amefanya makosa ya kusaidia Acaccia wasilipe kodi alikamatwa nakufunguliwa mashitaka na kisha kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria. Na hukumu yake haijamuondolea sifa ya kuwa mgombea ubunge. Kwa hiyo ni wazi kuwa serikali ya CCM ilichukua hatua stahiki, kusema kwamba haipambani na ufisadi ni uongo na kukosa hoja.

Kujibu hoja ya kuwa anatumiwa na mabeberu kizembe hivyo pia imeonyesha ni wazi kuwa anapata misaada toka kwa mabeberu. Maana huwezi kusema kuwa kisa Usaid au JICA wakitoa misaada tayari tumepata msaada toka kwa mabeberu. Maana dhana nzima ya ubeberu huwa inakamilika pale misada ya taifa lenye uwezo linapotoa msaada ambao una lengo la kuinyonya nchi yetu kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni. Hili hajajibu vuzuri maana anakiri kuwa impliedly kuwa anapata misaada. Je hiyo misaada anaipata kwa mashariti gani huyu ndugu Lissu? Ili aje alinde faragha za watu wanaovunja sheria za nchi!

Kusingizia media za Tanzania hazifanyi coverage ya mikutano yake ni aibu na hii ndio imeonyesha sasa ameishiwa nguvu. Amesahau kilichotokea pale Zakheim? Lakini pamoja na hayo mimi naona vyombo vya habari karibu vyote vinaripoti mikutano yake.

Kusema rais anatumia madaraka yake kujipatia kura. Hili nalo linachanganya. Kwani Tundu Lissu hajui kuwa ukomo wa rais wa JMT ni mpaka aapishwe mwingine? Maana pale Nyehunge rais Magufuli alikuwa anatumia kofia yake ya urais kutekeleza majukumu yake,na kwa katiba ya JMT lipo wazi. Ila dalili zinaonyesha sasa maji yamefika shingoni na baada ya siku kumi itakuwa aibu kwa Chadema.
Kama wewe ni mwana ccm halisi,jifunze kuwaambia watu wenu wawe fair ktk uchaguzi. Unajisifuje kushinda uchaguzi wakati tayari tume imeshakupatieni viti karibu theluthi ya madiwani wote na majimbo kadhaa ya ubunge. Hapo unafurahia nini? Hicho chama chako kinaona fahari gani kutambia ushindi wa kimagumashi namna hiyo? Kama mngekuwa mmefundwa vizuri msingefurahia ushindi wa ajabu hivyo!
 
Knockout ya karne. Pesa kwisha
Pesa ilikuwepo labda imeyeyuka;
1.Pesa ya luzuku 300 x 12 x 5 =18B
2.Mchango wa Wabunge 70 x12 x5 x laki tano 2.1 B
3.Pesa iliobaki kwenye kampeni 2015
Pesa ya diaspora.
4.Pesa iliotolewa na European Union kwa Chadema
5.Pesa ya michango ya wapenzi
6.Pesa za NEC
Mali bila daftari......
 
Back
Top Bottom