Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

Kama mamlaka zina taarifa na wamezikalia mahakama itawaamuru kuzitoa.

Lakini sio nyie mliokuwa mnataka watu waende mahakamani wameenda mnaanza kulialia tena tuwaeleweje.
Itaaamulu watoe kitu ambacho hakuna ushahidi.
Hivi mkuu wajua ili ukutwe na hatia ni kwamba " ur evidence must be justified beyond reasonable doubt "
 
Lkn, nikidhani, kila mtumishi, ana wajibu wa kuwakilisha vyeti, na madodoso yake yote ya kitaaluma, kwa mamlaka zilizomuajiri, na si vinginevyo....
Kama Kuna uhakika kuwa "mtuhumiwa", kagushi, taratibu kisheria, si kumtaka mtuhumiwa atoe vyeti vyake, bali ni kwa mtuhumu kutoa ushahidi wa kuthibitisha tuhuma zake..
..."wanasiasa wetu, na wafuasi wenu, mbona hili jambo ni rahisi sana kulipatia ufumbuzi?"

Bila kujua hapo umetoa nyenzo kubwa. Good thinking
 
Na wewe naona ubongo wako Uko "in comma" kutokana na utapiamlo na unyafuzi wa akili unaokusumbua.

Na wewe nionyeshe penal code ipi inayosema kuwa ukiwa mkuu wa mkoa wa DSM ni lazima uonyeshe.vyeti vyako.
"Kumuelewesha Chizi utajipa uchizi " - Darasa
 
Propaganda za uongo zinawapoteza vijana wa Lumumba na asilimia kuubwa wanaamini! Katiba ya JMT ilikua ikimuhitaji mtu anayegombea uraisi awe na minimum qualification ya bachelor degree Huyo unayemsema alikua mgombea 2005! Hamjiulizi tuu ilikuwaje?

Mngekua mnaushirikisha ubongo kidoogo msingekuwa mnaandika mapumba haya! Mmesababisha hata mkulu kawaamini! nilimsikia anamhusisha mtu na vilaza! Hebu kama mnafikiri kuwa Mh ni kilaza tupambanishe seriously vyeti vya mkulu na mh tukianzia cha form four bila aibu tuviweke mitandaoni kama hamtagumba macho kwa Ainu!
Sijawahi kusikia mahala popote duniani mpambano wa kupambanisha vyeti vya mkuu wa nchi na kiongozi wa UPE kama wa ufipa,
Wazee twataka maendeleo tu na sio porojo za kwenye vijiwe vya peremende pande za ufipa mpaka mnabadili gia angani
 
Kama hii habari ya ukweli basi huyu jamaa ni boya lakufa mtu.
Huenda asiwe boya. Huenda suala hili analitizama in an opposite frame of mind compared to yours. Huenda kuna waliofukuzwa kazi kwenye halmashauri/kata yake ndo wanamsukuma afanye hivyo ili ile dhana ya ''sheria ni msumeno, inakata kotekote'' ifanye kazi....huenda ni suala la kutafuta political mileage....
 
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.

Stay tuned.
Jumatano ijayo ni tarehe 22/03/2017 hiyo huenda ni habari ya uongo
 
Maskin Meya, hajui mtego anao mtegea Makonda utakuja kuwanasa wengine tena wale anao wapenda, na Makonda huo mtego hatonaswa. Ni swala la muda tu. Tusubiri.
 
Meya anafanya kazi nzuri ya kupambana na majizi ya vyeti na majina. Aungwe mkono na kila mpenda maendeleo.
Kwahiyo hiyo ni miongoni mwake job description ya meya wa ubungo..?? Ama kweli aliyewaroga ufipa aliisha jifia kifo cha mende ndembe ndembe.
 
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.

Stay tuned.


Huyo MEYA inamuhusu nini? Mbona wanadandia treni kwa mbele?? Waachie mamlaka husika
 
Hivi akili zenu huwa ni za kuvukia barabara ama!!???... MTU anapeleka shauri mahakamani kwa MTU alievunja sheria " Penal Codes" za Tanzania unamuona hafai... Kweli naanza kuamini mnyama pekee kumtawala kirahisi duniani ni mtanzania...



Hili suala la forgery lingekuwa Kenya ungeona na kushuhudia utofauti wa vichwa vya wakenya kama binaadamu na vichwa vya watanzania kama misukule isiyojielewa kama wewe
Katika nchi za watu wanaojitambua hii ilitosha kabisa kuwa scandal kwa mfumo mzima wa serikari.
 
We ! nawe weka vyeti mezani .
Ndio hatupendi madawa kulevya ,ila isiwe kivuli cha vita binafsi .
Kila mmoja abebe msalaba wake , kadri ya dhambi zake
 
Back
Top Bottom