Meya wa Sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya wa Sumbawanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpui Lyazumbi, Jan 30, 2011.

 1. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kuna tetesi za kujiuzuru meya wa manispaa ya sumbawanga bwana kisagwite(ccm). Nafuatilia uzuri, saa5 asubuh kesho inshalah ntawapa full data.
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sio tetesi ni kweli kuwa amebwaga manyanga leo
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  tujuze ..kisa na mkasa ni nini?
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Meya wa Manispaa ya S u m b a w a n g a , Samweli Kisabwiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kulinda heshima yake binafsi na ya chama chake. Akizungumza nyumbani kwake jana mjini hapa, Kisabwiti alisema amefikia uamuzi huo baada ya kutambua kwamba meya ni mtu muhimu sana katika kufanya kazi kwa ufanisi na anahitaji muda wa kutosha ili ajifunze. ''Kwa hiyo nimeona nipate muda wa kujifunza na kupata uzoefu kupitia nafasi yangu ya udiwani wa Kata ya Katandala na kupitia vikao mbalimbali.

  "Nimeona ni vema nikaachia ngazi ili kutoa nafasi kwa wengine wenye uzoefu kwani nafasi hiyo ni nyeti sana na inahitaji uzoefu na elimu ya kutosha,'' alisema.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pipoz pawa! Amesoma alama za nyakati
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  comfo ..ni zero huyu bwana
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mijitu mingine...aaaarrrg ina maana kabla ya ku run kwa umeya hakujua discription zake? Kama ametoka kwa shinikizo flani ningeelewa sio hio poor statement.
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Nani katika CCM ambaye siyo?
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyu bwana ni mkweli kabisa. Siyo kama yule aliyesema miaka miwili/mitatu ya kwanza alikuwa anajifunza kuongoza nchi! lol
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Asije akawa anakimbia skendali flani huyo...
   
 11. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  :clap2:Hongera unafaa kuwa kiongozi, baada ya kujifunza ama huko hakufaai kabisa nenda CDM
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  .....elimu jamaa kikwazo, standard 7
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Vizuri wazidi kupungua!!!
   
 14. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sasa nini kilimfanya akimbilie kugombea u-meya?
   
 15. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama ndiyo sababu kuu iliyomfanya aachie ngazi.Kuna baadhi ya halmashauri nazifahamu,zinaongozwa na darasa la 7
   
 16. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa kwa nn hakulijua hilo tangu mwanzo??.......au kuna shinikizo toka ngazi za juu?.......ila ni vema kawa mkweli kuliko angekuja kuharibu hapo mbeleni
   
 17. tama

  tama JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mmmmh kweli,kunguru mwoga hukimbiza ubawa wake.
   
 18. k

  kayumba JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hizi sababu zake haziridhishi?, ilikuwaje akagombea bila hata kujua majukumu yake?

  Je ccm hawajui ni watu gani wanawapitisha au alikuwa mgombea pekee?

  Siasa ni mchezo......!

   
Loading...