Meya wa Kinondoni: Wafanyabiashara 45,000 wamefunga biashara zao kwa muda wa miaka 5 iliyopita

Akichangia hoja kwenye sakata la kuwapanga wamachinga, Meya Songoro Mnyonge amedai kwamba wafanyabiashara elfu 45 wa Manispaa hiyo waliacha maduka yao na kugeuka wamachinga katika muda mfupi wa miaka mitano tu, hakueleza sababu hasa ya jambo hilo kama ni kufa kwa uchumi wa nchi au kuenea kwa wamachinga kila mahali.

Amedai mpaka sasa zaidi ya maduka 150 hufungwa kila mwezi kutokana na ugumu wa biashara.

Chanzo : Global Publishers

Mytake: Nchi hii ilipofikia kiuchumi inahitaji kufunga na kuomba.
Hao ndo wanatufany machinga ote tuonekane brainless
 
Akichangia hoja kwenye sakata la kuwapanga wamachinga, Meya Songoro Mnyonge amedai kwamba wafanyabiashara elfu 45 wa Manispaa hiyo waliacha maduka yao na kugeuka wamachinga katika muda mfupi wa miaka mitano tu, hakueleza sababu hasa ya jambo hilo kama ni kufa kwa uchumi wa nchi au kuenea kwa wamachinga kila mahali.

Amedai mpaka sasa zaidi ya maduka 150 hufungwa kila mwezi kutokana na ugumu wa biashara.

Chanzo : Global Publishers

Mytake: Nchi hii ilipofikia kiuchumi inahitaji kufunga na kuomba.
Mimi majibu ninayo kwanini biashara zinakufa ,nimeomba ufadhali wa kuchapisha kitabu changu cha ujasirialimali niliowamba msaada wako busy na mambo wanayo dhani yanatija biashara zitaendelea kufungwa tu, hili ni janga la taifa
 
Mimi majibu ninayo kwanini biashara zinakufa ,nimeomba ufadhali wa kuchapisha kitabu changu cha ujasirialimali niliowamba msaada wako busy na mambo wanayo dhani yanatija biashara zitaendelea kufungwa tu hill ni janga la taifa
Yani huna hela ya kuchapisha kitabu cha ujasiriamali then hapo unataka msaada wa kufundisha huo ujasiriamali. Unafundisha kitu ambacho hujui?

Msaada gani unataka kwani umezuiliwa kuchapisha? Alafu nani unataka akusaidie, wewe umemsaidia nani. Na ni wapi uliambiwa msaada ni lazima
 
Je wewe unajua kwanini biashara Tanzania zinakufa asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yana mtegemea mjasiriamali lakini aslimia 20% ndiyo ina nguvu kuua biashara
Kuna n
Yani huna hela ya kuchapisha kitabu cha ujasiriamali then hapo unataka msaada wa kufundisha huo ujasiriamali. Unafundisha kitu ambacho hujui?

Msaada gani unataka kwani umezuiliwa kuchapisha? Alafu nani unataka akusaidie, wewe umemsaidia nani. Na ni wapi uliambiwa msaada ni lazima
kuna njia nyingi za kuua panya 'Books need proofreading,editing and printing' and that 80% of the success in any business will depend on personal qualities, practically the remaining 20% has more driving forces for business failure, which is Environmental factor, in which there are political factors
 
Ndo maana msababishi aliona ajifie tu!,.... baada ya kugundua kuwa miaka kumi siyo mingi, ukiwa unakula kwa starehe!! amesababisha hasara kubwa sana kwa sirikali na watu binafsi mmoja mmoja!! je ataweka jicho lake wapi akimaliza mda wake??

Damu za kina Beni saa nane zina mlilia!!! na alijua tu hiii ishu akitoka tu Uchunguzi lazima ufanywe hata miaka mia moja ijayo!! Beni saanane ni kiporo cha kesho! tena ukitaka kura tumia udhaifu huu wa Ma ccm! sema hivi ;

''utafanya uchunguzi wa vifo hivi'' Beni saanane, Anzori Gwanda, Tundu Lisu kupigwa km jibwa jizi bila kufanya uchunguzi, kina nani hao walitumiwa kufanya hiyo shughuli?, wako wapi wanafanya nini? ndani ya sirikali huru?,

Wafanya kazi fake-(hela zao zilienda wapi?) walionewa sababu tu ya tamaa ya kujenga chato kwa sababu;
kwa nini walikubaliwa kazi na Mamlaka husika? wakati wanajua ni fake, je waliingizwa chaka na hizo mamlaka husika? au

ni chuki tu za Mtawala mbovu na Dikteta Jiwe?? Tundu Lissu aliwahi kusema haya kuwa walipwe haki zao sababu walilitumikia Taifa pia wamesomea vyuo vya sirikali!, na

je kwa nini wapewe vyeti hivyo fake! na shule au mamlaka za serikali husika? Kosa la Mfanya kazi liko wapi? haya yoote ni viporo! vitayumbisha sana li CCM, Mtu yeyote akijua kuyatumia haya maneno yangu nayo sema hapa yaani CCM ni chali chalile!

Mbaya zaidi akajikampenia eti awe Rais wa Maisha!! Mweee!! kupitia kundi lilee la wapigaji kina Msiba na wenzao, nao kweli si wakaropoka tuuu kwa niaba yake tena basi

wakijua wazi kabisa kuwa wana myumbisha huyo jamaa yenu Jiwe!! mweee! hapo ndo kajinyea kabisaaa!! Mazima! sasa hata km ni wewe kwa nini usijifie? Huko nje kwa Mabeberu alinuka! ndo hawakumpenda kabisaaa!

Mama Rais mwana/ke pekee! kwenye hotuba yake hapo UNGA hajashangiliwa sana kivile !!! wala mshtuo! kama kikwete! wale washiriki wanajua tu ndo wale wale! hawan jipya wanatuchora!! kifupi Anatakiwa Rais km mimi nitakae kuja kusafisha jina la Tanzania!

sasa hivi Msiba yuko kingdom of Lesotho Mitaa ya wilaya ya Berea, ana mashamba hatare! anakula na kunywa!! utamkuta anaranda randa Darajani pale! alimuingiza yule Mzee chaka! sababu ya njaa!! Ofisi zake Bongo kafunga! kakimbia wafanyakazi hwana hela, wanalia njaa
 
..meya wa kinondoni alikuwa ccm.

..tena ni mtoto wa marehemu spika samuel sitta.

..na utakumbuka rc makonda alikuwa akimuita samuel sitta " baba. "
Makonda bana mie nilimpenda sana yule dogo!!! alijua sana kula na Mabwege! ni kuyanyanyua tu hayo mabwege tu, tena kwa misifa mingi na mapambiao!! kila yakikutuma wewe nenda tu tengeneza njia yako!!! utajua huko mbele!! yule dogo safi sana,

hakutaka madaraka km wengi wana vyodhani bali alitaka njuruku! kwa kutumia madaraka! si mnaona hivi mnajua yuko anga zipi? huu uzi anauona anacheka tu na kimke chake sebureni! kamwe hamta msikia tena! ni moja kati ya mtajiri hatare visiwa vya Samoa!

Jiwe alitumiwa tu! si unaona alijitoa kiaina kwenye ukuu wa Mkoa!! alijua wazi, Dhuruma haijawahi kudumu ktk historia ya Dunia na kuwa jiwe lazima iko siku atapigwa tukio au atashindwa mbaya!

Maamuzi ya dogo yamechangia jiwe kufa sababu Jiwe alijikuta ktk ile vita yuko mwenyewe! Dogo kajijenga hatare!! Jiwe akaona yeye kacheza kifara siku akifa watamgeuka ghafla!!! loool! mzee akaamua kufa!

Next time nitawawekea clip muone anavo kula Bata huyu Dogo! lkn mie siyo Makonda ni Tata nyarusare! sbabu alijua hatima ya Jiwe itakuwa mbaya na yeye akiwemo!! si mnaona kunako kushindwa shindwa kwenye uchaguzi aka kaa chini, akakataa na teuzi yeyote!

hii in maanisha Dogo alijua kitu!
 
Back
Top Bottom