Meya wa Kinondoni Boniface Jacob ameachiwa kwa dhamana muda huu baadaye kushikiliwa kwa amri ya Dc

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Hatimaye Meya wa Ubungo Jacob, Katibu wa CHADEMA Ubungo Justine, Katibu wa Kata ya Makurumula na makamanda wengine waliokamatwa.

Kwa ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo wameachiwa huru baada ya saa 48 za kuwekwa ndani bila makosa yoyote.

Chama kitachukua hatua dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kwa ukiukaji wa sheria za nchi na matumizi mabaya ya Sheria ya Tawala za Mikoa.
tmp_16305-IMG-20170621-WA0046691373177.jpg
 

Attachments

  • tmp_16305-IMG-20170621-WA0046-381447694.jpg
    tmp_16305-IMG-20170621-WA0046-381447694.jpg
    70.1 KB · Views: 56
Wabaki naye tu, sisi siasa tumeacha tunaendelea kulinda resilimali zetu. Mpaka December yeyote anayejijua ni fisadi atakuwa ndani...Deep Green, Escrow, IPTL, Stanbic pesa na magunia, EPA etc. Just wait and see the power of JPM..
 
Mkuu Francis12, fanya marekebisho kwenye taarifa/habari yako. Mdogo wangu Salum Ally Hapi hausiki na suala hilo. Yeye ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. Huyo Meya alikamatwa kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Ndugu Kisare Makori. Na si Wilaya ya Kinondoni. Ni hayo tu Mkuu.
 
Nadhani PM alikwisha ongelea kuhusu hii sheria ya kuwaweka watu lupango kwa amri ya DC/RC
 
Hakuna mwanadamu mwenye chuki atakayeuona ufalme wa Mungu. Nawasikitikia sana hawa wanasiasa uchwara siku ile wakifika kwenye malango ya Mbinguni wakakuta wamefungiwa milango kwa sababu ya chuki zao. Ni vyema wasasiasa wa CCM kabla ya kulala wakatafakari namna bora za kufanya shuguli zao ili watakapomaliza maisha ya hapa Duniani, pasiwe na kikwazo kwenye maisha yanayofuata. Tunasema haya kwa kuwa tunawapenda sana wanasiasa wa CCM na wa vyama vingine na pia tungependa siku ya ufufuko tunyakuliwe wote mawinguni...
 
Wabaki naye tu, sisi siasa tumeacha tunaendelea kulinda resilimali zetu. Mpaka December yeyote anayejijua ni fisadi atakuwa ndani...Deep Green, Escrow, IPTL, Stanbic pesa na magunia, EPA etc. Just wait and see the power of JPM..
HOFU, WOGA na CHUKI VIMETANDA: Kwamba kosa la Meya Boniface kukagua miradi ya serikali akiwa na watu wa Chadema + kumkaribisha Sumaye ofisini
 
Back
Top Bottom