Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Muta Rwakatare diwani wa Kawe.

Muta Rwakatare ni rais wa chama cha ngumi Tanzania.

Muta Rwakatare ni mrithi wa Mali zote za mama yake Getruda Rwakatare kuanzia Kanisa na mashule yote ya St. Mary's ( Dar, Mbeya, Mwanza na Ifakara).

Muta Rwakatare hawezi kupoteza muda aje akae kwenye kikao Siku nzima kwa posho ya elfu 30.
 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: wwwchannel ten

Amefichwa na sukuma gang!
 
Amesafiri kwenda kutafuta maisha
 
Amefichwa na nani? Kama hajaonekana kwenye vikao muda mrefu kwa nini hawakusema hadi leo?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: wwwchannel ten
Kapata jimama hiyo !!
 
Hii familia ilikuwa na mgogoro wa Mali na nduguze

Nadhan mgogoro unaweza kuwa sababu

Kuna Uzi upo humu unazungumzia haya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Post yako ndiyo nimeielewa kati ya zote nilizozisoma, hili somehow linaweza kuwa sababu kama kweli hajulikani alipo manake Bongo drama zimezidi yaani kubaini uongo ni upi na ukweli ni upi ni challenging task.
 
Back
Top Bottom