Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,874
Barabara ya Mwenge - Tegeta imejengwa na serikali kwa gharama kubwa.
Kuna mambo kadhaa halmashauri ya kinondoni kupitia meya yanatakiwa yafanyike.
1. Taa za barabarani. Kunatakiwa kuwe na taa maana ukipita mwenge tu unakutana na giza nene mpaka tegeta
2. Kufyeka nyasi. Yaani ukifika jeshini panapendeza kweli. Bustani inapendeza lakini baada ya jeshini unakutana na hali mbovu mbovu sana. Nyasi hazifyekwi watu wajitengenezea vijia. Meya yupo tuu haweki hata watu wa kufyeka na kuzuia watu kupita hovyo hovyo.