Meya wa Kigoma Ujiji: Nachukulia tishio la Waziri Mkuchika kama tangazo la vita dhidi ya watu wa Manispaa yetu

Chapeni kazi,CCM hawataki kusikia halmashauri zinazoongozwa na upinzani zinaendelea,maendeleo katika halmashuri zinazoongozwa na upinzani CCM wanaziona kama sumu kwao ambayo hawatakiwi kuwa nayo jirani.
 
Kha! aisee hii ni hatari! yaani watu wanatafuta uwekezaji maeneo yao halafu mtu unakataa! kweli shetani anaweza kutenda kazi zake kupitia wanadamu!
 
Kauli ya Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kufuatia tishio la Serikali kuvunja Manispaa yetu

Nimeshtushwa, kushangazwa na kuchukizwa na tishio la kuivunja Halmashauri ya Manispaa ambalo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa leo bungeni. Waziri wa Utawala Bora alikuwa anajibu swali la mbunge wetu wa Kigoma Mjini kuhusu uamuzi wa Serikali kujitoa katika Mpango wa Uendeshaji wa Serikali kwa uwazi ( OGP ). Waziri George Mkuchika ameionya Manispaa yetu kuwa isipojitoa OGP itavunjwa na badala yake kuundwe Tume ya Manispaa.

Nikiwa Meya wa Manispaa hii nachukulia tishio hili la Waziri kwa uzito mkubwa na ni tangazo la vita dhidi ya watu wa Manispaa ya Kigoma Ujiji. Mnamo mwezi Februari mwaka 2016 Manispaa yetu ilishindana na Miji mingine 45 duniani kuchaguliwa kuwa waanzilishi wa program ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa kwa uwazi. Miji 15 ilichaguliwa ikiwamo Manispaa yetu. Shindano hili halikuwa na mahusiano yeyote na uanachama wa Tanzania kwenye OGP. Hivyo Manispaa yetu ilijiunga na OGP kwa kujitegemea na wala hatukuhitaji hata barua ya Serikali Kuu kutuidhinisha.

Serikali kutulazimisha kujitoa kwa sababu tu wenyewe wamejitoa ni kinyume cha demokrasia, kutuingilia mambo yetu na ni njama za kutukwamisha kwa sababu za kisiasa. Manispaa yetu inapata faida kubwa kuwa mwanachama wa OGP SubNational. Watendaji wetu wamejengewa uwezo, idara yetu ya ardhi inawezeshwa vifaa vya kisasa vya kuhifadhi kumbukumbu za wamiliki wa ardhi na kuondoa kabisa migogoro ya ardhi kwenye manispaa, wananchi wanapata taarifa za mapato na matumizi ya manispaa yao kwa kuweka wazi kila fedha inayoingia na taarifa ya robo mwaka ya ukaguzi wa ndani ( www.kigomaujijimc.go.tz ). Vile vile tumeweza kujenga mtandao wa mahusiano na Miji kama Bojonegoro wa Indonesia, Madrid ya Hispania, Paris ya Ufaransa, Ontario ya Canada na Sekondi Tokoradi ya Ghana. Kuwa kwenye OGP SubNational kumewezesha watu wenye mitaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia kutaka kuwekeza kwenye Manispaa yetu.

Mfano kesho Manispaa inaingia makubaliano na kampuni ya LingHang Group ya kuwekeza Kituo cha Biashara cha Maziwa Makuu ( The Ujiji City ) na Kiwanda cha Samaki cha Katonga. Vile vile kampuni ya HITACHI ya Japan inawekeza kuzalisha umeme wa jua kuendesha mitambo ya Maji kwenye manispaa, uwekezaji wa Utalii wa matibabu ( medical tourism) nk.

Kwa hakika kutulazimisha kujitoa OGP ni kupunguza nafasi yetu ya ushawishi duniani. Nikiwa Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, nimefanya juhudi za kuwasiliana na Serikali Kuu ili kupata ufafanuzi na kuitaka Serikali ituache tuendelee kutekeleza Mpango Mkakati wetu wa OGP. Hata hivyo Serikali haikunipa majibu yeyote mpaka leo tuliposikia Bungeni tukionywa kuacha kuwasiliana na watu wa OGP.

Tunashangazwa na hatua hii ya Serikali inayojitanabaisha kwa kupambana na ufisadi. Uwazi ni dawa endelevu dhidi ya ufisadi. Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kigoma Ujiji litakaa na kujadili suala hili na kufanya maamuzi yenye kujali maslahi mapana ya Mji wetu.

Hussein Ruhava
Meya Manispaa Kigoma Ujiji
13/11/2017
Kwani ni lazima kung'ang'ania kuwa sehemu ya Tanzania?. Siku zote(Kigoma) hamkuhusika na masuala ya nchi hiyo(Tanzania). Hakuna maendeleo yoyote mliyoletewa kama sehemu ya nchi yetu, labda majuzi baada ya kiongozi mmoja kupata bibi kigoma ndo utaratibu wa kuwaunganisha na Tanzania ukaanza Nashauri muendelee na utaratibu wenu. Pengine sasa mtarudishwa kwenye nchi yenu ya asili-Burundi
 
Meya inatia shaka kama unatosha kwenye hicho Kiti. Serikali za Mitaa hazina full autonomy ya kuendesha mambo yake kwa Mfumo wa Tanzania. Kwanza unapata Ruzuku kutoka Serikali kuu zaidi ya 80%. Uhuru huo utaupata kutoka wapi. Pia Sheria inampa Mamlaka Waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa kuvunja Halmashauri. Halafu wewe unajifanya huwezi kuomba Kibali cha Serikali Kuu. Unaonesha una kiwango kidogo sana cha uelewa wa uendeshaji wa Serikali. Jifunze kwanza kabla hujatoa kauli za kijinga sana. Sijui unatoka Chama gani naamini CCM haiwezi kuwa na Mameya wasioelewa masuala ya uendeshaji wa Serikali.
 
Kwani ni lazima kung'ang'ania kuwa sehemu ya Tanzania?. Siku zote(Kigoma) hamkuhusika na masuala ya nchi hiyo(Tanzania). Hakuna maendeleo yoyote mliyoletewa kama sehemu ya nchi yetu, labda majuzi baada ya kiongozi mmoja kupata bibi kigoma ndo utaratibu wa kuwaunganisha na Tanzania ukaanza Nashauri muendelee na utaratibu wenu. Pengine sasa mtarudishwa kwenye nchi yenu ya asili-Burundi
Unaharisha wewe siyo bure na inaonesha siyo raia wa Nchi hii. Uchochezi wako wa kilofa hautasaidia. Nenda kalewe tembo. Nyambaf wewe.
 
They are very poor in negotiations and persuasion skills..
"Mkijaribu kunishauri ndio mnaharibu kabisaaa"

Tatizo huenda sio persuasion skills bali ni akili za mshauriwa. Tatizo ni pale mshauriwa anapogeuka kuwa advisor wa the so called advisors wake
 
Tatizo tumewapa washamba watuongoze,kuna tetesi wanataka kujiondoa na ICC
Mshamba ni wewe uliyewapa washamba. Wewe ni mjinga wa daraja la kwanza. Hata kama hukumchagua wewe, wengi wamemchagua kwa kuwa wamemfahamu tangu akina Waziri. Kwa kuwa unafikiri kwa kutumia "masaburi" huwezi ukaelewa maana yoyote.
Huyo JPM alionewa gere kwa mambo aliyofanya wizara ya Ujenzi, akahamishwa kupelekwa wizara ndogo ya uvivi na mifugo (wizara ya kitoweo) lakini maujanja yake yaliipa chati kubwa wizara huku waliopewa ujenzi wakionekana kwenda mwendo wa kinyonga hivyo kudhibitisha kuwa, Magufuli ndiye alikuwa mwarobaini wa Wizara ya ujenzi, ndo maana akarudishwa tena.
But kwa kuwa, unatumia akili za mbayuwayu (za kuambiwa) bila kuchanganya za kwako, ndiyo maana unajitopokea tu. Ama na wewe ni wale feki?
 
Msipojitoa mchukuliwe kama wahaini!!full stop!! Kama mnataka kujitenga na Tanzania si mseme?? Wewe baba anakukataza then unabisha ??kifuatacho ni Fimbo!!!
 
Back
Top Bottom