Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire ashikiliwa na Polisi kwa amri ya RC John Mongella

Hizi siasa zitaua watu. Hivi meya kwa akili zake kweli anasubiri Ziara ya Raisi ili kufichua maovu? Siamini kama hii inawezekana, nahisi habari hii si ya kweli.
 
Sijui chochote kuhusu ufisadi wa kiwanda hicho,ila nawafahamu vizuri sana Bwire na Kibamba,bahati nzuri nimewafahamu kwa miaka mingi kabla hawajapta hizo nyadhifa zao.
Kwa ufahamu wa historia zao Bwire ni FISADI wa kutupwa na Kibamba ni mwanasheria makini sio fisadi. Japo binadamu tuna tabia ya kubadilika.
 
Mbona na yeye ana makosa kibao wafanya kazi wake hawana mikataba ya kazi wanafukuzwa kazi ovyo na ya kwake yataanikwa mda si mrefu,nyani haoni kundule
 
Aisee kinacho fanyika hapa ni kile nilicho shuhudia Dar es salaam wakati wa utawala wa mkwele
Alipo fika Obama kwenye ardhi ya bongo vichaa wote walikamata kwa mda na kuwekwa ndani mpaka alipo rudi sasa naona Mongera anatumia hiyo principal
 
Habari hii nimeiona luningani lakini sababu za kukamatwa kwake hazijaelezwa.Anaelielewa kwa kina tukio hili atujuze tafadhali. Source ITV habari!!
 
Meya kwa tiketi ya chama gani? Kama ni CHADEMA basi ni yaleyale yaliyomfanya nyarandu ahame ccm
 
Habari hii nimeiona luningani lakini sababu za kukamatwa kwake hazijaelezwa.Anaelielewa kwa kina tukio hili atujuze tafadhali. Source ITV habari!!
Hebu kamuandalie sherehe fisadi mwenzenu ambaye tayari faili lake la kuua tembo liko mezani!! Mumpokee kwa press kama kawaida!
 
Alitaka Kumwambia Mh Rais Uozo Uliopo Mwanza Jinsi Fedha Za Miradi Ilivyotafuna,wanjanja Wakamwahi Uwanja Wa Ndege Nakumkamata,baada Ya Rais Kusoma Mabango Yanayolalamikia Kukamatwa Kwa Meya Akatoa Aggizo Wakayamalize Wenyewe Wao Wote Ni Ccm
 
Back
Top Bottom