Meya wa Jiji la Dar Masaburi ajibu Mapigo ya Wabunge; Masaburi awatusi wabunge !!!!

Meya wa Dar es Salaam Dk Didas Masaburi, amesema yuko tayari kufikishwa mahakamani na siyo kuomba radhi wabunge wa mkoa huo baada ya kuwaambia wanafikiri kwakutumia Makalio! Badala ya Ubongo!.

Kauli hiyo ya Dr. asaburi inakuja zikiwa ni siku chache baada ya wawakilisha hao kumtaka kuwaomba radhi kwa kuwatusi vingenevyo watamburuza mahakamani. Dr. Masaburu alisema yuko tayari kupelekwa mahakani kwakua anauhakika na anachokizungunza.

Souce: Mwananchi 17/08/2011.
 
Ni kweli kwani uongo sasa,..na hasa wale wa chama cha magamba,......yes_i said
<br />
<br / hivi kuna watu wanatumia matak..sorry makalio kufikiri? Asa akipelekwa mahakamani athibitishe kisayansi km wabunge hao wanatumia makalio ataweza? Eti huyo ndo meya wa jiji asiyechagua la kutamka hadharani. Ila mie simshangai vituko vyake tangu kibuka, vijana kinondoni na mkoa twavijua
 
kwamba Masaburi can prove beyond any reasonable mashaka kwamba ubongo wa hawa jamaa uko makalioni na si kichwani!!!?? Duhhhh, ningependa hawa jamaa waende mahakamni nione CCm wanavyoumbuana. Masabuni anajisahau kuwa hata yeye anatumia makalio au tumbo kufikiri kwani hata naye ni diwani wa CCM na amechaguliwa na wananchi <<I can prove this in court too>>
 
Kwani uongo? Ingekuwa si kweli huyo meya huo ujasiri wa kuwatukana wabunge angeutoa wapi? Kwani yeye hana akili mpaka atamke maneno hayo? Unafikiri kama ingekuwa si kweli hao wabunge waliotukanwa wangekaa kimya bila kuchukua hatua yeyote? Big up mkuu kwa kuwambia ukweli hao wabunge!!
 
Hii imekaa ki style ya aina yake,
Yaani mtu akiwa anafikiri, then makalio ndio yawe bize!!???
Au labda kwenye Media anasema hivyo kisha anawafuata kwa siri kuwaomba radhi kimyakimya!!
 
hii kauli ya dr.masa ukiitafakari vizuri ni kwamba hata yeye antumia makalio.
wabunge(zungu na mtenvu) na madiwani wamechaguliwa na wananchi
meya
(dr masa) amechaguliwa na madiwani
DR masa nae alipiga kura kumchagua mbunge akiwa kama mwananchi
 
"Wanafikiri kwakutumia Makalio! Badala ya Ubongo!. Aisee tusi baya kweli hata ingekua mimi nisingekubali!
 
KWANI BORA NANI KWA SABABU NAKUMBUKA SITTA ALISHASEMA MBEYA KUWA KUNAWATU WANATUMIA TUMBO KUFIKILI SIJUI BORA KIPIq!
 
Kuwa na uhakika si kazi ngumu lakini kuthibitisha KITAALUMA hasa kisayansi ni kazi ngumu ama kwa lugha nyingine HAIWEZEKANI, vinginevyo awe, yeye binafsi, ana uwezo wa kufikiri kwa kutumia Makalio yake. Ama yawezekana na yeye tayari ni miongoni mwao maana hiyo ni lugha imayokera.
 
Aiseee! Mengi tulikuwa hatuyafahamu, lakini saa na wakati umefika wa wao wenyewe kutudadavulia live bila chenga.
 
Back
Top Bottom