Meya wa Jiji la Dar Masaburi ajibu Mapigo ya Wabunge; Masaburi awatusi wabunge !!!!

WOTE ni Wanyang'anyi - Kama ilivyo kuanzia kwa Mkuu wa Kaya mpaka mjumbe wa mtaa!

Wa_Tanzania wote ni wezi na hamna mtu wa kumnyooshea kidole mwenzake - Taifa lililooza - SHAME!

bado awamu nyingine ya uhuru

Hakuna msafi wote ni wezi wakubwa tu!
Mgao wa UDA hawakupata kina Zungu ndiyo maana wanapiga kelele, na Masaburi, nae hakupata Mgao wa DDC na Machinga Complex ndiyo maana unasikia kelele hizi.
Masabaru kama kweli alikuwa na dhamira ya dhati kuwatumikia wana Dar, alikuwa wapi kusema huo ufisadi wa DDC! mpaka wabunge wamesema ufisadi wa UDA ndiyo unajitokeza

Hapa ndipo najiuliza,maana kwenye gazet la jana amesema atahakikisha anaipitia mikataba yoote ya machinga complex mwenyewe bila kupitia kamat maana inanuka ufisad,sa nkajiuliza kwanin aseme sasa????kama aliujua???
Hakuna msafi wote ni wezi wakubwa tu!

Mgao wa UDA hawakupata kina Zungu ndiyo maana wanapiga kelele, na Masaburi, nae hakupata Mgao wa DDC na Machinga Complex ndiyo maana unasikia kelele hizi.

Masabaru kama kweli alikuwa na dhamira ya dhati kuwatumikia wana Dar, alikuwa wapi kusema huo ufisadi wa DDC! mpaka wabunge wamesema ufisadi wa UDA ndiyo unajitokeza

Hivi walikuwa wapi mpaka kuanza kulipuana sasa hivi?, anyway better late than never, waendelee kulipuana tu kwa faida ya nchi, lakini badala ya kusema takulipua kwanini wasilipue?

Au wanangoja kuzibana midomo na kupeana mlungula

Hawalipuani kwa faida yetu kamwe,ni kwa faida yao na matoto yao
Hivi walikuwa wapi mpaka kuanza kulipuana sasa hivi?, anyway better late than never, waendelee kulipuana tu kwa faida ya nchi, lakini badala ya kusema takulipua kwanini wasilipue?

Au wanangoja kuzibana midomo na kupeana mlungula

Ukiwa mwana CCM ni sawa na kuwa mchawi, lazima tu utashiriki kula nyama za watu (wizi). Ndio maana kila mtu anamnyooshea kidole mwengine maana wanajuana wote, hakuna watu wasafi CCM!!

Umeona eee? Mi mgeni bado mwoga mwoga lkn nitawachana tu, we subiri, mtaona tu.

Hawa wavua magamba wote wezi, kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake, dawa yao ni kufanya maamuzi magumu sisi wananchi. kama mh Lema alivyosema ni bora vita inayodai haki..................................................!

hahahahaaa,abdallah hapo wakikusikia wenyewe wataseama wewe unachochea vurugu,baado kuna safar ya kudai uhuru mpya

Na inawezekana wanatuzuga thru media,lakin wenyewe wanachat az usual,kesho utaskia mwingine kajibu ya leo,ndo nauliza NIMUAMIN NANI????MEYA WANGU WA DAR,MBUNGE WA ILALA AMBAKO IKULU IPO AU YULE WA TMK KULE UNAKOPATIKANA UWANJA WA TAIFA
Ni kweli lakini hivi vita vyao kama vitatoa maovu yao tuombe Mungu wasipatane na waendelee kulipuana

Hali ya sarakasi za UDA inaendelea ambapo leo Zungu na Mtemvu wamedhamilia kumburuza mahakani Meya wa Dar Masaburi kwa kuwazushia rushwa za DDC na Machinga Complex

Chanzo ITV

Kama kuna mtu alifuatilia sridi yangu tangu asbui,nilisema nimuamin nani??ZUNGU,MTEMVU AU MASSABURI???maana nilijua na leo ataibuka mtu tena,na ameibuka tena

Hawa wote ni wasanii tu na wanajaribu kuvuruga akili za watu ili sakata lenyewe lipoteze mvuto!

Hata siku moja, siwezi kuamini watu wanaoishi ndani ya gamba kubwa huku wakijidai kujivua vipande vidogo vidogo katika magamba yao madogo! Hata hivyo mwisho wa hizi sinema watakuja kujuta kwa kuwatania Watanzania na kuwaibia kama vile wanahamia sayari nyingine!

Wabunge wa mkoa wa Dar alisema matusi waliyotukanwa kuwa wanafikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa yamewadhalilisha katika chama chao, jamii, wapiga kura wao, wabunge wenzao pamoja na familia zao.

Back
Top Bottom