Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Habari kutoka Jijini Arusha,
NAMUUNGA MKONO RAIS KWA UTUMBUAJI WA PROFESA MUONGO.
Baraza la Madiwani jiji la Arusha likiongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Meya wa jiji la Arusha, Kalisti Lazaro amemuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri aliyo ifanya ya kumtumbua waziri wa nishati na madini na kumwomba Rais asishie hapo tu bali viongozi wengine waliopita na kusababisha hasara kubwa taifa na umaskini wa uuzaji wa mchanga wamadini nje.