Meya wa Jiji la Arusha amuomba Rais Magufuli afike kupokea Shukrani za wanaArusha!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa Kalist Lazaro amemuomba mkuu wa Mkoa wa Arusha amualike Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli jijini Arusha ili aje kupokea Shukrani na pongezi badala ya malalamiko.

Meya Lazaro ametaja baadhi ya miradi ya mfano na mafanikio iliyofanywa na Serikali jijini Arusha na pia kuelezea ushirikiano kati yake na Mkuu wa Mkoa Mh. Mrisho Gambo.

VIVA JPM
KARIBU ARACHUGA !!
 
Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa Calist Lazaro amemuomba mkuu wa Mkoa wa Arusha amualike Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli jijini Arusha ili aje kupokea Shukrani na pongezi badala ya malalamiko.

Meya Lazaro ametaja baadhi ya miradi ya mfano na mafanikio iliyofanywa na Serikali jijini Arusha na pia kuelezea ushirikiano kati yake na Mkuu wa Mkoa Mh. Mrisho Gambo.

VIVA JPM
KARIBU ARACHUGA !!
Trash news

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa Kalist Lazaro amemuomba mkuu wa Mkoa wa Arusha amualike Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli jijini Arusha ili aje kupokea Shukrani na pongezi badala ya malalamiko.

Meya Lazaro ametaja baadhi ya miradi ya mfano na mafanikio iliyofanywa na Serikali jijini Arusha na pia kuelezea ushirikiano kati yake na Mkuu wa Mkoa Mh. Mrisho Gambo.

VIVA JPM
KARIBU ARACHUGA !!
Taifa la wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitafanyika chochote ilimradi tu malengo yafikiwe. Nafikiria mbali nikiitazama Tz Kama Rwanda ya P.K. Kwa Sasa naamini miaka kadhaa ijayo katika utawa wa Rais wa awamu ya tano kutatokea tukio ambalo litasababisha kusambaratika kwa vyama vya siasa na kubaki na itikadi za, zidumu fikra za Mheshimiwa. Sio Chadema, ACT wala NCCR pekee kuwa ndio wataumia, hapana. Hata CCM itawakumba maana watalazimika kuachia nafasi zao kuwapisha New comers ambao kimsingi watakubali kuunga mkono kwa makubaliano maalum.

Natanguliza shukrani
 
Meya Kalist Lazaro ni mmoja ya mfano wa wanasiasa walioielewa kauli ya Mheshimiwa Rais ya kuacha siasa hadi 2020.
Ni mtu anayekimbizana na maendeleao ya wananchi wake tu
 
Heko kwake,, wananchi tunahitaji maendeleo siyo kususa susa. Tunachohitaji maendeleo,

Namshauri Lema aunge juhudi mapema kabla ya 2020, maana dalili 2020 hili jimbo litakuwa CCM
 
Huyo meya ni msaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli yeye anawaonesha wale wajinga waliohama chama ili kuunga mkono kuwa unaweza kuunga mkono mema ya serikali bila hata kuhama chama na unaweza pi a kuishauri na kuikosoa serikali ikiwa katika chama chako. Wewe unaonaje huyu anayekubali baadhi ya mazuri yanayofanywa na serikali akiwa katika chama chake bila kulitia hasara taifa ya kurudia uchaguzi au yule anayehama chama na taifa kulazimika kuingia hasara ya mabilioni kufanya uchaguzi tena wa kumchagua?
 
Lowasa Group linaanza kutubu na kurejea walikotoka
Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa Kalist Lazaro amemuomba mkuu wa Mkoa wa Arusha amualike Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli jijini Arusha ili aje kupokea Shukrani na pongezi badala ya malalamiko.

Meya Lazaro ametaja baadhi ya miradi ya mfano na mafanikio iliyofanywa na Serikali jijini Arusha na pia kuelezea ushirikiano kati yake na Mkuu wa Mkoa Mh. Mrisho Gambo.

VIVA JPM
KARIBU ARACHUGA !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Meya anajitambua, ukiwa meya unakuwa mtendaji ndani ya jamii kuleta maendeleo kwa wananchi wako kupitia ahadi zako wakati wa uchaguzi...Meya kufanya kazi za siasa nikuwanyima fursa watendaji wengine wa Chama mathalan km watu wa sera, watu wa propaganda nk. Mfano mm sikuona sababu ya meya Boniface kufungua kesi dhidi ya makonda ile hali anamhitaji makondo kufikia wananchi wake….yaani ni muhimu sasa chama km chadema ipange timu yake, nani afanye hiki na nani afanye kile namaanisha lazima watu km Maya, wenyeviti wa halmashauri, nk ambao ni watendaji wa wananchi wajiepushe na Siasa hasa hasa hizi za kukosoa nakushambulia ili kuepusha mgawanyiko kiutendaji kati ya watendaji wa serikali na chama
 
Back
Top Bottom