Meya wa jiji huchaguliwa na wajumbe gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Naomba kujua wajumbe halali wa kumchagua Meya wa jijj na hapa nikilenga zaidi Meya wa Jiji la Dar-es-salaam baada ya kupatikana Mameya wa Manispaa zote tatu za Jiji.

Wajumbe wengine, kama wapo, ni kina nani?
 
Madiwan wa halmashaur zilizo ndan ya jiji ndio wanaochagua Meya wa jiji,,,waliopiga kura kuwachaguavmameya sehem zao
 
Back
Top Bottom