Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,988
Wenzenu leo tuna burudani ya aina yake ambayo inatuonesha kuwa labda sisi watu weusi aidha Uhamishoni au Afrika tuko vile vile.. we can't do anything right!

Ata-survive kweli huyu meya? Halafu huyo kimada wake ana attitude kwelikweli....