Meya wa Dar: Je mna habari kuwa....

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kuwa kuna mgawanyiko mkubwa kati ya madiwani wenye asili ya mji huu na wasio na asili na mji huu kiasi cha kwamba shutma mbali mbali zinatuptwa kuanzia za rushwa mpaka hizo za toka kwa wenye asili na mji huu wamesema hawawezi kuwa na Meya ambaye hajatahiriwa (Govi), Mjaluo na tatu hajui kitu kuhusu huu mji.

Kwa sababu nishaambiwa niache kuongea kwa riddles asiyetakiwa nibwana Masaburi ambaye so far amekuwa akimwaga fedha luluki kiasi cha kwamba akina Saggaf na Tarimba (pamoja na mijihela ya nesho lotery) hawajui cha kumfanya. Kwani keshatoa tenda za car clumping hapa Dar kwa hao aliowaachia milioni 5 na pia kawaahidi tenda ya kukusanya mapato Ferry atawapa iwapo watampa support (just when you thought we've seen enough of money based campaign wakati wa uchaguzi mkuu).

As we speak Masaburi inasemekana kesha spend zaidi ya milioni 600 na mwenyewe anasema anataka oanekane kama vile Meya Bloomberg wa New York!!!

Anyway habari ndio hiyo na najua dogo wa Ilala ni memba humu hivyo najua habari hii itamfikia tuu Masaburi usiku huu na kama ana bisha aje kukanusha
 
Madai ya RUSHWA ni ya msingi endapo kuna ukweli wowote lakini hili la 'Mtoto wa Jijini Dar es Salaam' ni madai yanayokiuka misingi ya utawala wa sheria. Mtanzania yeyote anaweza akaishi popote nchini na hata kuomba nafasi za uongozi akapewa.

Ni kweli Jiji la Dar es Salaam linaongoza kwa makusanyo ya mapato kwa serikali yetu nchini LAKINI mali za biashara karibu zote zinatokea MOKOANI huko hivyo mtu wa Mkoani kuja kuongoza Jijini ni sawa kabisa. Hakuna shida kwani tutakuwa tumefuata mkondo wa mali zetu za shamba zinanokwenda siku zote katika kila mwaka.

Kwa upande wa kiongozi wa ngazi ya UDIWANI kudai kuwa eti mwenzie HAJATAIRIWA ni vema naye akaulizwa swali la KIPUUZI (kumradhi) kwamba huko Tume ya Jiji madiwani wanakwenda KUFANYA NGONO ndio akaanze kuchungulia chupi za watu kama wametairiwa ai laa???
 
Umemstahi. Ungemuuliza alilionaje govi? Wapi?
 
kwani mh. masabuli aliwahi kuwa shemejio? au umelionaje hilo **** lake? acha majungu wewe? ondoa siasa zako za maji taka hapa.
 
Saggaf uliemtaja si wa Dar Es Salaam: Dodoma
Tarimba pia si wa Dar Es Salaam: Tanga
 
Katika nyakati kama hizi namkumbuka sana Game Theory.LMAO!
 
Back
Top Bottom