Meya wa CCM akataa shangingi ataka pickup zingine zikanunulie gari za wagonjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya wa CCM akataa shangingi ataka pickup zingine zikanunulie gari za wagonjwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 27, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Mi nampongeza meya wa arusha kwanza kabla ya kuhisi kichwa yake aina akili
  akidai ameamua kumfwata mwenyekiti wa chadema bwa mh freeman mbowe
  hivi ajui mbowe ataki hata hiyo pickup??kwanza anauwezo gani kujifananisha na mh mbowe
  mhuni alieingia kwa kumwaga damu ...anyway naomba siku nyingine msijifananishe na malaika
  hata sikumoja shetani awezi kuwamalaika

  pengine angeulizaa hizo gari ni sh ngapi na hilo shangingi wangempa shillingi ngapi
  ajui kwenye risiti zinaandikwa million 100 huku wanaletewa magari ya million 50-60
  je hilo million 40 atanunua ambulance ya wagonjwa..na kama amedhamiria kwanini
  asiombe pesa zote zinunulia gari ya wagonjwa hizi njaa taabuuuuuuuuuuuu
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aisee mbona hueleweki? au kiswahili kinapiga chenga?
   
 3. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Kama wamefanya vizuri, tuwasifie hapo kajitahidi japo kaiga
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Pdidy leo unaandika kama Malaria Sugu? What happened to you?
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Pdidy una haraka sana leo eeh?
   
 6. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kama kakataa gari la gharama ni vizuri tukimpongeza.
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pdidy hebu jazba zikipungua jaribu kuiweka hii habari katika lugha inayoeleweka..
   
 8. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  HTML:
  
  
  Kule Arusha na Moshi p/up ni mali kuliko shangingi teh teh teh, atabebea chakula cha kuku teh teh teh teh na majani ya ngómbe teh teh teh, huyu jamaa ni mjanja sana, haihitaji kumpongeza.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Productive Malaria Sugu!
   
 10. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu umekurupuka
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mimi sikuzote p didy simuelewi .. unless habari awe ame copy na ku paste ...
   
 13. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanaokujibu nadhani uliwapigia simu..lakini kama ni kwa habari???...siamini....kiufupi Pdidy husomeki...au umeme??
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Pdidy japokua umekurupuka lakini mimi nahisi kasi yako ya kuleta thready hiii ulikua unaendana na speed ya kutokukatika kwa umeme lakini ujumbe umefika japokua inaleta mushkeli mimi nimeelewa kama ni kweli diwani huyu kafanya hivyo kukataa hilo shangingi na kuchukua pick up! Lakini nahisi kutokana na sera za chama cha magamba lazima watamtia adabu kwakuwa amekiuka sera za chama cha magamba kwakutokuchua hilo shangingi we subiri utakuja ona.
   
Loading...