Meya Temeke: Nani aliwaambia wana-Mbagala wanahitaji soko la ghorofa?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Katika kipindi cha matukio Times fm

Imekuja na ripoti ya mayor wa Temeke kuhoji uwepo wa soko la ghorofa Mbagala.

Kauli hii imetoka wakati wa kikao cha baraza la madiwani ambapo mayor alitolea mfano soko la ghorofa lkn pia mayor huyo ametoa rai kwa kamati ya fedha ya baraza ilo kutembelea mradi wa BRT Mbagala to Kkoo.

Hizi kauli za viongozi wetu zina shangasha
 
Masoko yanayofanya vizuri ni ya aina ipi? Ya ghorofa? Yakaeje kaeje kwa watu wa mbagala?

Kununua suruali, nyanya mpaka upande ghorofa ya 4? Mwisho wa siku mnakuwa na ghorofa jengo lisiloendana na uhalisia wa matumizi

Isijekuwa hapo wanataka jengo la ghorofa ili gharama ziwe kubwa wapate pa kupachika hela zingine
 
Hahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tu
Soko litakuwaje la gorofa wakati watu wanauza nyanya, soko linatakiwa liwe la kawaida ila lenye miundombinu muhimu kama vyoo na mitaro ya maji taka, wanataka ghorofa kuakuwa na tofauti gan na malls
 
Soko kuwa la ghorofa inawezekana vizur tu
Gf matunda na mboga mboga na nafaka
1st floor maduka ya kawaida sijui electronics,nguo etc
 
Hahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tu
Sisi watu wa mbagala tumezoea biashara zetu za kusagura-sagura kama kuku wa kienyeji Sasa hiyo style Yao ya kupanda ghorofan Kwaajili ya kununua mihogo itakuwa ngumu Sana
 
Hahahah sio mbaya ila masoko kuwa ya kisasa ni muhimu! Ila yasiwe ya ghorofa tu
Hahah Extrovert wafana biashara wananzidi kila kukicha eneo la ardhi haliongezeki ...vertical construction ni nzuri sanaa, ndio maana hata siku izi kuna mabarabara ya juu
Unaweza ukawa na eneo dogo likajengwa vertical likabeba watu wengi
 
Uko sahihi, bado funzo la Machinga Complex halijatuingia.
Ivi kwa mfano machinga complex lisinge kuwepo wale wauza ma computer mle ndani si wange zagaa mitaan huo mjinungekuwa ni dampo sasa

Ujenzi wa magorofaa ni mzuri cha msingi ni usimamizi tu
 
Back
Top Bottom