Meya Silaa Akacha mkutano Ilala Kota

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Ikiwa siku tatu za matangazo juu ya ujio wa meya wa Jiji Jerry Silaa jiji laDar es salaam, wanahci walimsubiri kwa hamu sana, kulikuwepo hoa mbali mbali ambazo alitakiwa kuzijibu, hoja mojawapo ni kuhusu kupanda kwa kodi ya kuzoa taka toka 1000 mpaka elfu 10,000.00 wengine kutoa 30,000.00 hadi 200000.00 hawa ni wenye mahoteli, kingine agenda ya mgambo kutoza fedha kama hongo kwa wapanga bidhaa barabarani hasa wale waliopewa leseni na vodacom/tigo kufanya bishara ya kupokea na kutuma pesa ili hali kuna watu wanalipa kodi kwa serikali na kodi ya pango, kingine kuwa hawa wafanyabishara ndogo ndio wazalishaji uchafu kwa wingi na hawalipi kodi kwa mtu yeyeto. watu waliendelea kulalamika kuwa pesa zikusanywazo zina mkono wa mtu, kwani ni kiasi kikubwa muno. Awali mwenyekiti alisema viwango hivyo vimewekwa na madiwani na wazir mkuu kusaini sheria hii. watu wanohoji, kodi hii kuwa kubwa na hali bado jiji ni chafu
 
Ikiwa siku tatu za matangazo juu ya ujio wa meya wa jiji laDar es salaam, wanahci walimsubiri kwa hamu sana, kulikuwepo hoa mbali mbali ambazo alitakiwa kuzijibu, hoja mojawapo ni kuhusu kupanda kwa kodi ya kuzoa taka toka 1000 mpaka elfu 10,000.00 wengine kutoa 30,000.00 hadi 200000.00 hawa ni wenye mahoteli, kingine agenda ya mgambo kutoza fedha kama hongo kwa wapanga bidhaa barabarani hasa wale waliopewa leseni na vodacom/tigo kufanya bishara ya kupokea na kutuma pesa ili hali kuna watu wanalipa kodi kwa serikali na kodi ya pango, kingine kuwa hawa wafanyabishara ndogo ndio wazalishaji uchafu kwa wingi na hawalipi kodi kwa mtu yeyeto. watu waliendelea kulalamika kuwa pesa zikusanywazo zina mkono wa mtu, kwani ni kiasi kikubwa muno. Awali mwenyekiti alisema viwango hivyo vimewekwa na madiwani na wazir mkuu kusaini sheria hii. watu wanohoji, kodi hii kuwa kubwa na hali bado jiji ni chafu

Edit: Andika "Silaa" na sio "Slaa". Mie umenipandisha presha. You will be sued for causing "nervous shock".
 
Watu wengine wanaudhi kweli.nilifikiri anamuongelea Slaa kumbe anamuongelea Silaa
 
Hivi huyu dogo ni kabila moja na yule wa chadema.Wenye kujua sina nia mbaya
 
ndio maana sijaweka DK wa Ukweli, mwenyekiti na diwani walipaniki kweli kweli baada ya maswali mengi kutoka kwa wananchi, ndio ukafikia wakati kwamba wapatikane wajumbe wanne au wawili waandamane na diwani kupinga kiwango hicho kwani ni kikubwa mno, diwani kasema naye alikuta wenzake walishatia saini mswada huo, naye alipambana vilivyo kuwanusuru watu wake lakini hakupata ushindi. wananchi waliuliza kama kweli waziri mkuu anajua hali halisi ya kariakoo watu na maisha yao , kwani wengine ni wakazi tu hawawezi kukimbia makazi yao. kiwango hicho cha elfu kumi hutozwa kwa kila chumba cha bishara, takataka nyingi ni za wauza maji, vocha za simu, mauza matunda hasa ndizi na mihogo huku wengi wao wa wafanyabishara wakiuza nguo na simu tu ambazo sio taka. Kwa sasa kuna vibanda vingi vya wafanyakazi wa VODA na tIGO ambao huwapatia usajili bila leseni , cha ajabu ni kwamba watu wote walikatazwa na wizara ya mawasiliano kuuza line za simu lakini kwa kariakoo hakuna sheria.
 
Naomba mbadilishe hiyo heading isomeke Silaa na siyo Slaa.Hii inanikumbusha 2005 wameru walimpigia kura
nyingi Kikwete wakidhani anaitwa Mirisho(jina la kimeru) kumbe ni Mrisho!
 
kumbe si rais wangu wa moyoni. maana najua yuko bk. kukimbia na kuzomewa ndo fasheni za magamba siku hizi mbona
.
 
Haya majina bana!
Mwandishi usirudie tena kushindwa kuwatofautisha hawa watu kwa angalau kuandika Slaa (Meya) umenisumbua sana laiti kama ningelijua ni yeye huyu kwenye thread hii wala nisingeisoma. Uandishi wako mbaya umeniibia muda wangu
 
Ikiwa siku tatu za matangazo juu ya ujio wa meya wa Jiji Jerry Silaa jiji laDar es salaam, wanahci walimsubiri kwa hamu sana, kulikuwepo hoa mbali mbali ambazo alitakiwa kuzijibu, hoja mojawapo ni kuhusu kupanda kwa kodi ya kuzoa taka toka 1000 mpaka elfu 10,000.00 wengine kutoa 30,000.00 hadi 200000.00 hawa ni wenye mahoteli, kingine agenda ya mgambo kutoza fedha kama hongo kwa wapanga bidhaa barabarani hasa wale waliopewa leseni na vodacom/tigo kufanya bishara ya kupokea na kutuma pesa ili hali kuna watu wanalipa kodi kwa serikali na kodi ya pango, kingine kuwa hawa wafanyabishara ndogo ndio wazalishaji uchafu kwa wingi na hawalipi kodi kwa mtu yeyeto. watu waliendelea kulalamika kuwa pesa zikusanywazo zina mkono wa mtu, kwani ni kiasi kikubwa muno. Awali mwenyekiti alisema viwango hivyo vimewekwa na madiwani na wazir mkuu kusaini sheria hii. watu wanohoji, kodi hii kuwa kubwa na hali bado jiji ni chafu

anavyopenda kulala wanawake hovyo, pengine alichelewa gesti yake ya pale Buguruni. hivi kweli mkewe anajua huyu mtu alivyomshenzi wa ngono?
 
Ikiwa siku tatu za matangazo juu ya ujio wa meya wa Jiji Jerry Silaa jiji laDar es salaam, wanahci walimsubiri kwa hamu sana, kulikuwepo hoa mbali mbali ambazo alitakiwa kuzijibu, hoja mojawapo ni kuhusu kupanda kwa kodi ya kuzoa taka toka 1000 mpaka elfu 10,000.00 wengine kutoa 30,000.00 hadi 200000.00 hawa ni wenye mahoteli, kingine agenda ya mgambo kutoza fedha kama hongo kwa wapanga bidhaa barabarani hasa wale waliopewa leseni na vodacom/tigo kufanya bishara ya kupokea na kutuma pesa ili hali kuna watu wanalipa kodi kwa serikali na kodi ya pango, kingine kuwa hawa wafanyabishara ndogo ndio wazalishaji uchafu kwa wingi na hawalipi kodi kwa mtu yeyeto. watu waliendelea kulalamika kuwa pesa zikusanywazo zina mkono wa mtu, kwani ni kiasi kikubwa muno. Awali mwenyekiti alisema viwango hivyo vimewekwa na madiwani na wazir mkuu kusaini sheria hii. watu wanohoji, kodi hii kuwa kubwa na hali bado jiji ni chafu

Ungeanza Meya wa jiji la Dsm Jerry Silaa................ktk kichwa cha habari yako hapo juu.
 
Acheni kujichukulia credits kupitia majina ya watu. Tofautisha SLAA na SILAA. Ala!
 
Huyu anataka thread yake ipate attention ya watu.
Inaboa hii. Kama ni watu wa ccm ni kawaida yao kukimbia mikutano na midahalo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom