Meya Mwita tulia unyolewe, CHADEMA haiwezi kukusaidia

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Mdogo wangu Isaya Mwita,

1.jpg

Tambua kuwa demokrasia ya baraza la madiwani ni kwenye kikao na Wingi was madiwani,mahakama hazitakusaidia utaishia kupata msongo wa mawazo.

Huwezi kuzuia mchakato wa wakilishi wa wananchi walio wengi kuzuia mchakato wa demokrasia.

Nimalize kwa kusema wengi wape,wachache wasikilizwe.

Pia soma. Meya wa Dar es salaam Isaya Mwita asubiri masaa tu kuondolewa kwenye nafasi yake
 
Mdogo wangu Isaya Mwita,

Tambua kuwa demokrasia ya baraza la madiwani ni kwenye kikao na Wingi was madiwani,mahakama hazitakusaidia utaishia kupata msongo wa mawazo.

Huwezi kuzuia mchakato wa wakilishi wa wananchi walio wengi kuzuia mchakato wa demokrasia.

Nimalize kwa kusema wengi wape,wachache wasikilizwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Wakudadavua, hata kama demokrasia ya "uchafuzi" itatumika tena, lkn meya mteule atahudumu kwa muda mfupi sana ofisini mwake. Sidhani kama ni jambo la busara kutumia nguvu nyingi zenye lundo la lawama kumuwajibisha kiongozi mahiri kama Mwita. Lakini tuishie hapo, kwa kuwa ktk CCM hii upuuzi wowote ule unawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya meya iundwe na mkuu wa mkoa, wajumbe wake wateuliwe na mkuu wa mkoa kwa mapenzi yake, na madiwani watakaopiga kura ya kutokuwa na imani nae wengi wanatoka ccm, halafu mtu mwenye akili timamu aulize matokeo yatakuwaje? bora ametangulia mahakamani, anyway, na mahakama pia za ccm.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu Isaya Mwita,

Tambua kuwa demokrasia ya baraza la madiwani ni kwenye kikao na Wingi was madiwani,mahakama hazitakusaidia utaishia kupata msongo wa mawazo.

Huwezi kuzuia mchakato wa wakilishi wa wananchi walio wengi kuzuia mchakato wa demokrasia.

Nimalize kwa kusema wengi wape,wachache wasikilizwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, ninachokupendea ndio hiki, jinsi ulivyo mkweli, kiukweli nakupenda sana kwa ulivyo mkweli, na haukopeshi!.
Baeleze Baelewe!.
P
 
Mimi nimemuelewa wakudadavua kuwa ccm wanaona aibu kuongozwa Na meya kutoka chadema...hatahivyo huyo mnayemtaka ataongoza umri wa mimba tu....najua shida ni zile Pesa alizochukua halafu akakataa mliyoyataka? Haya Sie tunacheka maana aliyetoa Na mpokeaji wote....
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, nakupenda ulivyo mkweli, haukopeshi!.
Baeleze Baelewe!.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, ninachikupendea ndio hiki, jinsi ulivyo mkweli, kiukweli nakupenda sana kwa ulivyo mkweli, na haukopeshi!.
Baeleze Baelewe!.
P
Mkuu Pascal, wewe ni mtu makini sana, Great Thinker na pia mwenye uelewa mkubwa sana wa siasa za nchi hii. Katika hili umechapia, umeonyesha "prejudices & biasness" ya wazi kabisa nje ya uelewedi wako katika tasnia ya habari. Ni toti ya ngapi ya "Scottish Whiskey" unatembea nayo mida hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM kuna watu wa ajabu sana! Wanapenda sana kuchukua madaraka kwa hila lakini wakisha chukuwa uwezo wa kutekeleza majukumu ndio ZIRO kabisa.
Umeya wa Dar wameusaka kwa UDI na uvumba from day one ya awamu hii, wakaanza na ununuzi wa wabunge bogus ili kuvunja nguvu ya meya.
Sasa wamefanikiwa.
 
Mkuu Pascal, wewe ni mtu makini sana, Great Thinker na pia mwenye uelewa mkubwa sana wa siasa za nchi hii. Katika hili umechapia, umeonyesha "prejudices & biasness" ya wazi kabisa nje ya uelewedi wako katika tasnia ya habari. Ni toti ya ngapi ya "Scottish Whiskey" unatembea nayo mida hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesema kweli kama vile unaniona, niko kwenye mwendo, nikitembea na Joni Mtembezi au Yohana Mtembezi wa Alama Nyeusi tuko wawili tuu na tumefikia half way!.
P
 
Mdogo wangu Isaya Mwita,

Tambua kuwa demokrasia ya baraza la madiwani ni kwenye kikao na Wingi was madiwani,mahakama hazitakusaidia utaishia kupata msongo wa mawazo.

Huwezi kuzuia mchakato wa wakilishi wa wananchi walio wengi kuzuia mchakato wa demokrasia.

Nimalize kwa kusema wengi wape,wachache wasikilizwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila ganzi
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, ninachikupendea ndio hiki, jinsi ulivyo mkweli, kiukweli nakupenda sana kwa ulivyo mkweli, na haukopeshi!.
Baeleze Baelewe!.
P
Mkuu hauna hata mshipa1 wa aibu,nafasi hii ya1 umea inaweza kuwa yako,safali hii utakuwa Meya hata wa Viti Maalum.
 
Back
Top Bottom