Meya Mstaafu Arusha achambua kauli ya Dkt. Bashiru, alia na wachochezi

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro amefafanua utata wa kauli ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally kuwa CCM haiwezi kushinda bila kutumia vyombo vya dola akidai kuwa kauli hiyo inapotoshwa na wapinzani wa kisiasa.

Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha, Lazaro amesema kuwa kauli hiyo inapotoshwa na wapinzani wa kisiasa kwa lengo la kukichafua chama na serikali yake kwa kuwaaminisha wananchi na mataifa mbalimbali kuwa CCM inamekuwa ikishinda katika chaguzi zake kwa nguvu za dola.

"CCM haitumii vyombo vya dola kuingia madarakani bali vyombo vya dola inasaidia katika kulinda amani ya nchi wakati wa uchaguzi na kwamba chama kinautaratibu wake katika masuala ya uchaguzi" Amesema.

Aidha amewataka wananchi kupuuza maneno yenye uchochezi yanayoenezwa na upinzani bali waamini kuwa wakati wa uchaguzi kila chama kinalenga kushika dola na CCM ndio iliyoshika dola hivyo chama tawala ndio chenye dola katika kuwahudumiwa wananchi, kulinda maslahi ya wananchi na mali zao. Kwa vyovyote vile ikifanya vizuri CCM itaendelea kubaki madarakani ndio faidi aliyosema Katibu mkuu wetu.

"Wapinzani wasipanue vidole katika uelewa wa kauli ya Bashiru bali wapanue ubongo wa kufikiri" Amesema Lazaro

Katika hatua nyingine Lazaro ameipongeza halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoiacha ikiwemo ujenzi wa zahanati, vyumba vya madarasa na miundo mbinu ya barabara.

Amewataka wananchi waendelee kukiunga mkono chama cha mapinduzi kwa kuwa iwapo atabahatika kuwa kiongozi katika mkoa wa Arusha ataweza kuwatumikia wananchi hao.

Wakati huo huo Lazaro amewataka wanawake nchini kuitumia siku ya mwanamke duniani kuungana na kuwa kitu kimoja na kuacha kuitumia siku hiyo kama sehemu ya kujinadi kisiasa .

Ends...

IMG_20200310_115253.jpeg
IMG_20200310_115303.jpeg
IMG_20200310_115256.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aidha amewataka wananchi kupuuza maneno yenye uchochezi yanayoenezwa na upinzani bali waamini kuwa wakati wa uchaguzi kila chama kinalenga kushika dola na CCM ndio iliyoshika dola hivyo chama tawala ndio chenye dola katika kuwahudumiwa wananchi, kulinda maslahi ya wananchi na mali zao.kwa vyovyote vile ikifanya vizuri CCM itaendelea kubaki madarakani ndio faidi aliyosema Katibu mkuu wetu.

"Wapinzani wasipanue vidole katika uelewa wa kauli ya Bashiru bali wapanue ubongo wa kufikiri" Amesema Lazaro

Katika hatua nyingine Lazaro ameipongeza halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoiacha ikiwemo ujenzi wa zahanati, vyumba vya madarasa na miundo mbinu ya barabara.

Amewataka wananchi waendelee kukiunga mkono chama cha mapinduzi kwa kuwa iwapo atabahatika kuwa kiongozi katika mkoa wa Arusha ataweza kuwatumikia wananchi hao.

Wakati huo huo Lazaro amewataka wanawake nchini kuitumia siku ya mwanamke duniani kuungana na kuwa kitu kimoja na kuacha kuitumia siku hiyo kama sehemu ya kujinadi kisiasa .

Ends....

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulieanzisha uzi huu unajua maana ya mstaafu?
 
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro amefafanua utata wa kauli ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally kuwa CCM haiwezi kushinda bila kutumia vyombo vya dola akidai kuwa kauli hiyo inapotoshwa na wapinzani wa kisiasa.

Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha, Lazaro amesema kuwa kauli hiyo inapotoshwa na wapinzani wa kisiasa kwa lengo la kukichafua chama na serikali yake kwa kuwaaminisha wananchi na mataifa mbalimbali kuwa CCM inamekuwa ikishinda katika chaguzi zake kwa nguvu za dola.

"CCM haitumii vyombo vya dola kuingia madarakani bali vyombo vya dola inasaidia katika kulinda amani ya nchi wakati wa uchaguzi na kwamba chama kinautaratibu wake katika masuala ya uchaguzi" Amesema.

Aidha amewataka wananchi kupuuza maneno yenye uchochezi yanayoenezwa na upinzani bali waamini kuwa wakati wa uchaguzi kila chama kinalenga kushika dola na CCM ndio iliyoshika dola hivyo chama tawala ndio chenye dola katika kuwahudumiwa wananchi, kulinda maslahi ya wananchi na mali zao. Kwa vyovyote vile ikifanya vizuri CCM itaendelea kubaki madarakani ndio faidi aliyosema Katibu mkuu wetu.

"Wapinzani wasipanue vidole katika uelewa wa kauli ya Bashiru bali wapanue ubongo wa kufikiri" Amesema Lazaro

Katika hatua nyingine Lazaro ameipongeza halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoiacha ikiwemo ujenzi wa zahanati, vyumba vya madarasa na miundo mbinu ya barabara.

Amewataka wananchi waendelee kukiunga mkono chama cha mapinduzi kwa kuwa iwapo atabahatika kuwa kiongozi katika mkoa wa Arusha ataweza kuwatumikia wananchi hao.

Wakati huo huo Lazaro amewataka wanawake nchini kuitumia siku ya mwanamke duniani kuungana na kuwa kitu kimoja na kuacha kuitumia siku hiyo kama sehemu ya kujinadi kisiasa .

Ends...

Sent using Jamii Forums mobile app
Aache ujinga! Dk. Bashiru alizungunmza Live, aliulizwa maswali ya ziada akafafanua mpaka akatoa na mifano ya Kenya na Zambia walivyoshindwa kutumia polisi kubaki madarakani. Nadhani Lazaro njaa imeanza anatafuta aongezewe kidogo!
 
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro amefafanua utata wa kauli ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally kuwa CCM haiwezi kushinda bila kutumia vyombo vya dola akidai kuwa kauli hiyo inapotoshwa na wapinzani wa kisiasa.

Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha, Lazaro amesema kuwa kauli hiyo inapotoshwa na wapinzani wa kisiasa kwa lengo la kukichafua chama na serikali yake kwa kuwaaminisha wananchi na mataifa mbalimbali kuwa CCM inamekuwa ikishinda katika chaguzi zake kwa nguvu za dola.

"CCM haitumii vyombo vya dola kuingia madarakani bali vyombo vya dola inasaidia katika kulinda amani ya nchi wakati wa uchaguzi na kwamba chama kinautaratibu wake katika masuala ya uchaguzi" Amesema.

Aidha amewataka wananchi kupuuza maneno yenye uchochezi yanayoenezwa na upinzani bali waamini kuwa wakati wa uchaguzi kila chama kinalenga kushika dola na CCM ndio iliyoshika dola hivyo chama tawala ndio chenye dola katika kuwahudumiwa wananchi, kulinda maslahi ya wananchi na mali zao. Kwa vyovyote vile ikifanya vizuri CCM itaendelea kubaki madarakani ndio faidi aliyosema Katibu mkuu wetu.

"Wapinzani wasipanue vidole katika uelewa wa kauli ya Bashiru bali wapanue ubongo wa kufikiri" Amesema Lazaro

Katika hatua nyingine Lazaro ameipongeza halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoiacha ikiwemo ujenzi wa zahanati, vyumba vya madarasa na miundo mbinu ya barabara.

Amewataka wananchi waendelee kukiunga mkono chama cha mapinduzi kwa kuwa iwapo atabahatika kuwa kiongozi katika mkoa wa Arusha ataweza kuwatumikia wananchi hao.

Wakati huo huo Lazaro amewataka wanawake nchini kuitumia siku ya mwanamke duniani kuungana na kuwa kitu kimoja na kuacha kuitumia siku hiyo kama sehemu ya kujinadi kisiasa .

Ends...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mwenyewe anajinadi kisiasa na anawakataza wengine wasijinadi.
Halafu anataka tumsikie
 
Kalisti ni classmate wangu Ilboru. Anajaribu kutetea habari za kijinga za Bushiru . Kila mtu anaelewa alikuwa ana maana gani kusema kuhusu Chama na Dola.
 
Huyu ni ng'ombe alie katwa mkia hatuna story nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"CCM haitumii vyombo vya dola kuingia madarakani bali vyombo vya dola inasaidia katika kulinda amani ya nchi wakati wa uchaguzi na kwamba chama kinautaratibu wake katika masuala ya uchaguzi" Amesema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atuoneshe ni wapi kwenye sheria ya uchaguzi ni wapi au kifungu gani cha sheria unasema vyombo vya dola vitasaidia kinda amani wakati wa uchaguzi.
Stake tu ni kifungu gani
 
Rejea chaguzi za marudio kama polisi wanakuwa wengi kuliko wapiga kura utasemaje hapo
 
Back
Top Bottom