DaveSave
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 440
- 637
Kwa kuanza hongera sana bwana Mwita kwa kuaminika na chama chako pamoja na Umoja wa Katiba ya Wananchi na kukuchagua wewe kuwa Meya.Jiji la Dar limekuwa moja ya majiji yanayoangaliwa kwa karibu sana hapa Afrika na duniani kwa ujumla.
Ombi langu ni kwamba usiwe kama Jerry,yeye alikuwa msafi,ila jiji chafu.
Aluta Continua.
Ombi langu ni kwamba usiwe kama Jerry,yeye alikuwa msafi,ila jiji chafu.
Aluta Continua.