Meya Mji wa Moshi awa mkandarasi ujenzi wa madarasa kwa fedha za IMF

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,799
21,395
Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.

Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS Kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo.

Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
 
Hiyo Halmashauri iko chini ya CCM; ulitegemea nini Chief? Ndio zao hao majizi.
 
Kama ni za kweli Takukuru wamesikia.
Hali inavojionesha nchi inaelekea kwenye giza nene! Mafisadi wanaila kweli kweli bila hofu mchana kweupe na hakuna wa kukemea sembuse kufukuza na kupeleka kwenye vyombo vya sheria.

Whistle blowers ndio hivyo "walituchelewesha sana". Nakulilia Tanzania nchi yetu!
 
Bila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Huyo meya ni kibaka mwenzake na sabaya,kesi ya sabaya aliotapeli 25m kwa mzee lyimo alihusika kuuza ramani akapewa chake
 
Bila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.

Yani hizi hela kila mstu serikalini sasa hivi yuko bize ila kuna watakaofukuzwa kazi, kuna watakaologana, watachongeana na kukatana mapanga
 
Bila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Hao sasa ndio CCM, ni majizi ajabu! CCM usipokua mwizi wala mnafiki basi huna sifa
 
Amechukuaje tenda wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule na mfumo unaotumika ni force account.
 
Hilo swali atajibu DED moshi Manispaa na DEO sekondari ndio wapambe wa tenda hiyo. Ameitisha vikao na shule zote. Kumi zilizopata mgao wa fedha hizo. Na wamekubaliana Meya afanye kazi ya ujenzi.
 
Bila mkuu wa wilaya ya moshi, kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasa wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa . Swali la msingi , Halmashauri imempata mkandarasa asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo. Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
 
Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.

Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana jina wala hakuna viambatisho muhimu vya kumtambua. RAS Kilimanjaro fuatilia pesa inapigwa hiyo.

Tulioko ughaibuni tunashangaa tu.
Niliyoyasema awali yaibuka shule ya sekondari Anna Mkapa kwa RC Kilimanjaro kukabidhi mradi wa madarasa 4 yenye dhamani ya Tsh 80,000,000 kwa kamanda wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro huko Tanzania
 
Back
Top Bottom