Meya masaburi aomba apewe muda kidogo!kuna kibuku,ddc ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya masaburi aomba apewe muda kidogo!kuna kibuku,ddc ufisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Aug 7, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  baada ya kufichua uozo wa UDA,Meya wa jiji dar masaburi ameomba apewe muda kidogo ili afichue zaidi ufisadi mwingine ktk mashirika ya jiji kama DDC,KIBUKU etc!source ch10
   
 2. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hataki kwenda na maji peke yake huyu
   
 3. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  akome!
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha duh
  Haya kila wiki ina kwenda kwa scene mpya ,matukio mapya director wa movie zote ni yule yule CCM. adhira ni watanzana. Maudhui ya movie ni UFISADI. Tanzania tumejaliwa wasanii. investor wa Hollywod wako wapi waje wachote vipaji hivi

  Next week sijui tutaletwa scene gani na nani watakuwa washiriki
   
Loading...