Meya Manispaa ya Moshi: Mapato mengi yanapotea kwenye harusi, MC na wapishi

Huyu Meya mbona ana mawazo ya kishirikina sana, ina maana akili zake ndio zimeishia kuwaza hapo hapo tu
 
Kama ni ivyo itafika miaka wanaume watakua hawaendeshi magari.maana swala la manual au automatic linatokana na mabadiliko ya teknolojia na kwakadri miaka inavyoenda vyombo vingi vya moto vitakua vinatengenezwa automatic.

Hata ivyo ndege na meli ni automatic sasa sijui nazenyewe zilitengenezwa hivyo ili ziendeshwe na wanawake tu au ulimaanisha nini kusema auto nizakuendesha wanawake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Waje waone shoo itayowakuta. Bangladesh!!
Huna lolote la kuwafanya, tozo tu mmeishia kupiga kelele mitandaoni. Wabongo tushawamudu vzuri sana. Kinachotokea hapo mwenye sherehe anataadharishwa kabisa hakikisha ukimlipa mc, mpishi, hakikisha wanalipa Kodi kabisa kabla ya siku ya sherehe otherwise utakuja kulipia mwenyewe ukiingia kwenye 18 zetu tukibaini hawakulipia Kodi.
 
Ingawa kila taifa linajengwa na kodi za wananchi hapa kwetu inakua ngumu kidogo kwa sababu hakuna mfumo mmoja wa malipo ya kodi kutoka serikali kuu na hizi za mitaa.

Kwa namna hio kufikia hapo tunapotaka kufika kwa aina hizi ya viongo itakua ngumu kwa kweli.
 
tutafanikiwa ikiwa wataendaji wote watapita kila kona zenye mapato kwa maharusi,Mc,wapishi na nyumba za wageni"
hapo kwa nyumba za wageni mstahimiki meya atoe ufafanuzi zaidi. Tozo hizo zitakuwa ni kwa wamiliki nyumba ama wageni wa nyumba hizo. Maana sio nigharimikie kumnunulia Manka wangu kitimoto, safari lager na nauli juu nimemtumia aje guest halafu mgambo wa jiji nao waje wagonge chumbani kudai tozo. Maana hapo watakuwa wanataka kutupa kesi za ubakaji, maana kitachofuata ni kuwabaka hao migambo.
 
Kwani huko nyumba za wageni wanataka nini?? si zinalipiwa kodi ya majengo au kila mtu akiingia wanataka kodi?
 
Huyu meya si ndio alitangaza fensi ya ofisi za kilimanjaro express ivunjwe na haijavunjwa. Mawazo yake ya kipumbavu. Naibu wake ni mtu mzima na ni daktari kwanini hamshauri vizuri kiongozi wake
 
Huyu meya si ndio alitangaza fensi ya ofisi za kilimanjaro express ivunjwe na haijavunjwa. Mawazo yake ya kipumbavu. Naibu wake ni mtu mzima na ni daktari kwanini hamshauri vizuri kiongozi wake
kuna wengine hawashauriki
 
Back
Top Bottom