Meya Londa tapeli mkubwa wa viwanja, waliokamatwa ni panzi - Madiwani wa Kinondoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya Londa tapeli mkubwa wa viwanja, waliokamatwa ni panzi - Madiwani wa Kinondoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jul 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
  -wapeleka tuhuma zake ccm na takukuru akuna kilichofwata
  waanika ufisadi mzima wa viwanja
  wasimulia kwa data anavyouza viwanja
  watoboa anavyopata mamilion kwenye zabunu
  wadai alinunua maua kwa milion 34
  mwenye we ataka kupigana na diwani kwa muanika
  awatishia mwenye kumtoa ajaribu
  wakamwambie rais kikwete wakiona awaridhiki na yeye
  '''

  '''kauli mbiu yao"""bila kumuondoa londa ufisadi wa viwanja na zabuni autaisha maisha......

  Jamani kikwete alishasema maisha bora kwa kila mtanzania alisahau kusema inategemea uko post gani ....sasa hili tena
  madiwani wa kinondoni wamewasha moto kwa kuanika uchafu mzima waliokuwa wakifanya na madiwani wengine baada ya mmoja wa watuhumiwa kuanza kuwataaja mapapa waliotuuzia viwanja vya kuchezea watoto zetu kwa mafisadi,,wakiongea kwa jazaba wanasema wamepleka malamiko kwa ccm ,takukuru akuna anaefwatilia pamoja na kuwapa data zote na anaoshirikiana

  wakiwa na simanzi baadhi walioonyesha jinsi nyaraka za halmashauri zinavyogushiwa ..mfano alisema kikao cha bajeti 2007 jun walipitisha bajeti ya sh mil 8 yaani 8,000,000 kwa kila trela la kuzolea taka..watendaji kwa ksuhirkiana na londa wanadaiwa kughushi na kuwa sh miliion 12,000 kila trela.ktk hilo aliweza kujipatia million 100 ambapo hata mkaguzi cag alisema kuna mllion 100 azionekani zimepitia wapi...

  Mstahiki meya londa alishiriiki kuuza kiwanja no 695 na 696 vya kawe kwa taassis ya ishik huku yeyena washirika wake wakinufaika bianfsi na uzwaji huo wa kwa kumega shule ya msingi ya kawe hata mbunge wa chadema alisema bungen akuna aliefwtilia

  kamati ya maadili ngazi za wilaya na mkoa zilimshauri ajiuzulu kwa kushytukiwa ubadhirifu aliishia kusema mwenye kumshauri ni ras kikwete nenden kwa kikwete,,hali heshima y chama akufanya hivyo

  aidha meya londa alilazimisha kuiuzia manispaa komputa zake 20 kwa sh million 3 kila moja na kujipatia sh milion 60 kinyume na bei halali ya komputa mpya

  meya londa alisaini mkataaba wa kampuni ya perlician heart wa kukusanya kodi za mabango kwa kata za kawe na kinondon mchanganuo unaonyesha zitakuwa azikikusanywa sh mil20 na kinondoni mill 70 barua hiyo inaeleza manispaa imelipwa sh mil 25 tu tangu wapewe mkataba kinyume na matarajio ya liokubaliwa...na kila diwani akiuliza hili londa anawalipukia na kutishia kumfukuza mtu....

  Meya londa amehuusika kumega kiwanja cha bustan ya afrikanaa garden mbezi beach kilichotengwa kwa ajili ya michezo na kuviuza vingine amejigawia mwenyewe kwa kutumia majina bandia na ushahidi upo tkukuru wanao
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
  Tutaendelea zaidi kesho msikose uondo huu wa tamaa ya madaraka ya mh londa amegeuka lowassa wa manispaa kila gorfa lake yeye amesema amechukua viwanja tu na lowasaa wa magorofa amwongei...kazi ipo chukua chako mapema ndg zanguni
  akuna mwema
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu Samson,

  Asante kwa habari hii. Lakini labda kabla sijachangia, tupe source (chanzo) cha habari hii!!!

  Tiba
   
 4. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sure ingekuwa vzr zaidi.....
   
 5. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Unauliza m....... wakati mkia unauona! mchango wangu wa bure kwa wanaCCM ni kwamba Jipu likiiva usipolipasua basi litapasuka lenyewe utake usitake
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mambo ya ufisadi wa Londa na viwanja Kinondoni sio ya leo wala jana bali ni ya siku nyingi; ushahidi wa ufisadi anaoufanya Kinondoni wa kuuza viwanja upo wazi mpaka kwenye Hansard bungeni lakini hakuna hatua zinazochukuliwa eti kwa kuogopa kukiabisha chama !! Londa ni mjumbe wa NEC ya CCM lakini hata hivyo hayuko juu ya sheria; mbona wakina Mramba na Yona wamepelekwa mahakamani? Londa anakichafua chama na kwa kumtosa mtakuwa mnaanzakujisafisha. Ingekuwa nchi kama China ,Londa kesha pigwa risasi kwa hujuma alizofanya Kinondoni!!
   
 7. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wee Bulesi weee, wakitumia sheria za China CCM itakuwa imepigwa bomu la Nuclear kwani hakuna atakayebaki kuanzia shina/kitongoji hadi CCM Taifa
   
 8. M

  Magezi JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Huwa nasikia tuna makomandoo pale Lugalo JWTZ sasa wanaisadiaje nchi mpaka wanaacha wana siasa wanahujumu kila kitu cha raia?
   
 9. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kinachotakiwa ni kuitishwa mkutano wa hadhara pale jangwani. Aletwe na apigwe risasi. Huyo ni fisadi wa kuvunda. Ninaipenda CCM lakini huyo?
   
 10. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source ipi mkuu. hili ni jukwaa. pengine ni diwani mwenyewe au mshirika wa londa aliye uziwa kiwanja na akiweka baadhi za pesa kwenye account ya londa.
  siyo magazeti tu baadhi ya source ni washirika wenyewe au watumishi hawawezi kuweka majina yao
   
 11. k

  kiuno Member

  #11
  Jul 3, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JWTZ, POLISI na vikosi vyote vya usalama ni ccm sasa sijui wewe unaongea nini au po dunia gani, panda treni uje 2010
   
 12. k

  kiuno Member

  #12
  Jul 3, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  JWTZ, POLISI na vikosi vyote vya usalama ni ccm sasa sijui wewe unaongea nini au po dunia gani, panda treni uje 2010
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Haya bwana chama hakitakiwi kipate aibu.
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo unataka wapindue nchi? Wewe utakuwa wapi wakati huo? Au upo nje ya nchi kwa hiyo huoni madhara ya hicho kitakachotokea baada ya mapinduzi? Hatuhitaji hata siku moja kufikiria mambo hayo, na yafaa sana kufanya maombi ya kuzuia hicho kisitokee nchini.
  Cha msingi watanzania mnalo lungu la kuigongea CCM mwezi wa kumi tumieni nafasi yenu. Sema tu kinachoboa ni kwamba hata CHADEMA wanaonekana ni makada wa CCM manake hadi leo hawataki kutoa uamuzi wao kuhusu mgombea Urais kupitia CHADEMA ili tuanze kumuuza. Kama wamekosa mgombea pia waseme ili tumuunge mkono Lipumba. Sasa si vijijini, si mjini wanaosikika ni wagombea wa CCM tu si wabunge, si Rais. Katika hali hii unaweza kuona kama wapinzani wa bongo nao ni wakimbiza upepo tu, hawana strategy yoyote ya kuleta mabadiliko (Makamba aliwaita mapaka hawa). Wanaboa ile mbaya. But kusema makomandoo waingie hapo kwakweli siafiki kwa sababu kwa hali yoyote hawataingia kwa mazuri. Tuzidi kuombea amani nchi yetu, na pia tuamue kwa dhati kuchagua upinzani. Kama CHADEMA wanaringa tumpe Lipumba, tumalize utata. CCM wapumzike, maana hawa ndo kiini cha umaskini mkubwa uliopo nchini. Tangu tumepata uhuru ndo wanaongoza nchi, wamemaliza maliasili zote na bado nchi yetu ni moja kati ya nchi masikini zaidi duniani. Waondoke hawa madarakani there is no way. Wanaoweza kuwaelimisha wananchi wawaelimishe ili hawa wezi watupishe washakula nchi vya kutosha.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  No way my friend, JWTZ, wana sera kama za marekani au mbwa. Kwamba hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Au mbwa hata kama unampikia kila siku, ukimkasirisha anakung'ata vilevile. So usijidanganye hata siku moja kwamba ni mali ya CCM. hawa wakiamua wanaweza kubadilika ndani ya dakika wakawa kitu kingine kabisa. Tuombee nchi yetu isiende huko, tutafute namna nzuri ya kutumia kura zetu ili kuwaondoa hawa mafisadi wakubwa waliofilisi uchumi wa nchi. Tuna kazi ngumu ya kuutafuta uhuru kutoka kwa mkoloni CCM.
   
Loading...