Elections 2010 Meya londa agawa fulana za ccm airport kama njugu!!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Nilihisi kuna fungu la bahasha kama wanahabari wangu mnavyojua tukitoka shugulini zile bahasha zetu..loh kusogelea nkakuta mh mmoja akisubiri kusafiri kafungua box mara nikaanza kusikia na mimi londa,,na mimi londa,,na mimi londa,,heeee kumbe ni fulana za kikwete,,,loh ilikuwa hatarri ikabdi polisi wamwombe asopishe hiyobiashara yake maana wengine waliacha hata kucheck abiiria....nafikiria kuna wakati inabidi nyie viongozi wa ccm mmjue ni wakat gan wa kugawa zana zenu za uchaguzi na wapi amtakiwi...kwa masikitiko makubwa...baadhi ya fulana wameanza kufutia mavumbi maofisini na nyingine ziko vyooni zinadekia choo incase kukiwa na majimaji....
SIASA KAZI KWELIKWELI
 
Back
Top Bottom