Meya Ilala Jerry Slaa Umefanya nini toka uwepo madarakani?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
6,988
8,497
Najiuliza huyu meya toka aingie madarakani amefanya nn cha maana toka aingie madarakani? maana nikipita mitaa ya ilala, kariakoo & posta sioni jipya barabara zimezid kuwa za ovyo, hakuna huduma ya vyoo vya umma &maghorofa yanajengwa bila utaratibu (hakuna parking) so inazidisha msongamano mjini. hivi huoni aibu Mstahiki Meya?
 
kama ulikuwa katika akili yangu mkuu

ANGALIA K.KOO
 
Attachments

  • 1401025133199.jpg
    1401025133199.jpg
    77.1 KB · Views: 284
  • 1401025153604.jpg
    1401025153604.jpg
    78.6 KB · Views: 260
Kamnunulia Millard Ayo I phone 5s kama zawadi ya mtangazaji anaemvutia katika field ya utangazaji
 
Huyu Meya ni msomi lakini kanjanja tu aisee. Umetuangusha vijana wasomi kwa kweli
 
Muacheni bado anastress za kuachana na mke wake BI....... ndo habari ya mjini na sa hv kijana mdogo anakula mzigo we unaacha wengine wanashikilia ha!ha!Meya heshima kwako.
 
Najiuliza huyu meya toka aingie madarakani amefanya nn cha maana toka aingie madarakani? maana nikipita mitaa ya ilala, kariakoo & posta sioni jipya barabara zimezid kuwa za ovyo, hakuna huduma ya vyoo vya umma &maghorofa yanajengwa bila utaratibu (hakuna parking) so inazidisha msongamano mjini. hivi huoni aibu Mstahiki Meya?

umeona hilo tu , YALE MASANAMU YASIYO NA JINA ALIYOYACHOMEKA KWENYE ROUND ABOUT MJINI HUJAYAONA ?
 
Muacheni bado anastress za kuachana na mke wake BI....... ndo habari ya mjini na sa hv kijana mdogo anakula mzigo we unaacha wengine wanashikilia ha!ha!Meya heshima kwako.

Nani kakuambiwa nimeachwa?

mpuuzi mmoja ww..usilo lijua nisawa na usku mnene
 
VIJANA NANI KAWAPA MAMLAKA YAKUNIJADILI HAPA NA KUNIKASHIFU

NTAIFUNGA HII JF HALAFU NIONE MTAANDIKA UPUUZI WENU WAPI...

BWANA MUSHI ONDOA HUU UZI UNANIDHALILISHA

MstahikiMeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom