Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
Meya Wa jiji la Arusha,Kalist Lazaro anatarajia kumkaribisha Mkuu Wa mkoa Wa Arusha Mrisho Gambo katika uzinduzi Wa hospital mpya ya wilaya inayojengwa katika eneo la Njiro,nje kidogo ya jiji la Arusha.
Meya amedai kuwa hospital hiyo itakuwa ya mfano na fundisho kwa viongozi wasiopenda maendeleo yanayotokana na uongozi wake na kwamba amemwalika Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kuja kuweka jiwe la msingi pekee ili waendelee na shughuli ya ujenzi utakaogharibu zaidi ya sh,milioni 500 ,fedha za ndani ya halmashauri hiyo.