Meya: Diwani wa CCM aliridhia na kusaini mtaa kuitwa Wanyama

Tanzania bhna kuna mambo ya ajabu kweli kweli yaani wiki sasa jamaa analilia kibao, kweli mahabusu hata sio sehemu nzuri.
 
Ulidhani taratibu zikikiukwa na wanaCCM ndio ziachwe...Mbona anafikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa?
taratibu hazijakiukwa.. labda wewe unazo unazozijua ni zipi zilizokiukwa?
kwa taarifa yako ile tatizo ya kukurupuka kwa viongozi wa ficem ndio zinawafikisha hapa. wao walichukulia kuwa maamuzi ya kumpa mtaa WANYAMA zimefanya kisiasa na wana ukawa kumbe taratibu zimefuawa tena kwa kusimamiwa na mwenyekiti wa ficem na madiwani wake kwa kushirikiana na MEYA ambae alishiriki kwa kubariki maamuzi ya vikao.
WAKURUPUKAJI kama kawaida yao wakakrupuka na kwenda kung'oa bango bila kutafiti kisa tu MEYA wa UKAWA anahusika basi tuharibu tu. OVYO KABISA!!!
 
Meya alifanyia Kikao wapi?
Kikao cha WDC kilifanyikia wapi?

Kikao cha DCC na RCC vilifanyikia wapi?

Aliyeanza kutaja siasa ni ninyi wenyewe...sisi tunaongelea kamati tendaji.
 
Kama ubongo wako uko sawa sikiliza hii vizuri utaelewa tu.
 
Ulidhani taratibu zikikiukwa na wanaCCM ndio ziachwe...Mbona anafikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa?
Yaani Dar wanajuta kuchagua viongozi kwa mihemko, Dar haijawahi kuwa na Meya zuzu kama hili boga
 
Tanzania bhna kuna mambo ya ajabu kweli kweli yaani wiki sasa jamaa analilia kibao, kweli mahabusu hata sio sehemu nzuri.
Inashangaza mno. Kuna Wazee wa TANU ambao wamepigania taifa hili kwa hali na mali, hata heshima ya mtaa hawana. Itakuwa huyo ambaye hana mchango katika Taifa!
 
Back
Top Bottom